Unamfahamu Sukubasi (Succubus/Succubi)?

Nakumbuka muda fulani kila nikipaka mafuta usoni ile nikifika kazini tu, naulizwa na raia mbona mdomo wako kila siku umepauka???
Nikagundua ni Succubus tu hakuna kingine. Nikaacha kunyonya ugiligili kwa baadhi ya succubus wa mpito.
Angalau ngozi za mdomo zimerudi hali yake sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikuwa unakula asidi nyingi sana kidogo ungegeuka battery utoe chaji

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom