mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
mkuu sio rahisi. Najalibu kujilazimisha lakni siomuoni juve akichukua kombeLeo anakufa kwa juve hakuna namna
Uko vizurinamuuona sedof hapo ,huyo marasta sijui ndio redondo au karembeu,kuna rebeto carlos hapo,kuna figo nakadhalika ambao sura zao za kizee zimenisaulisha majina yao
Uko vizuri...Christian karembeu,redondo,roberto carlos,luis figo,zinadine zidane,michel salgado na clarence seedorf huyo mwenye mawani jina limenitoka mtanisaidia wadau...the whites forever
Pichani ni ramadhani chombo redondo wa ulayaRamadhani chombo Redondo hahaha
Huyo mwenye miwani ndo nimemsahau!
Pedrag Mijatovic (1998)Huyo mwenye miwani ndo nimemsahau!
Hapo kuna Karembeu, Soldado, Raul, Seerdolf, Carlos, figo.
Dah, Zidane kweli anajua kumotivate vijana wake!
Wapi la capitaine, Fernando Hierro.
Juventus shughuli hana,namuona super captain sergio ramos akinyanyua mwali leo..
Davor suckerUko vizuri...
Sio redondo, huwezi kuizungumzia madrid usimtaje huyo mdau.
Miwani alikuwa mchezaji wa Yukoslavia na madrid 1998