Unamfahamu jamaa aliyetangaza kuula uume wake mbele ya televisheni ya taifa?

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,512
6,856
Bwana John McAfee mwanzilishi wa antivirus ya kwanza kabisa duniani ameahidi kuutafuna uume wake mbele ya television ya taifa la marekani endapo tu sarafu ya kidigital ya bitcoin haitafikisha thamani ya $1million kufikia December 31,2019

Huyu jamaa ambae ni computer guru alishawahi kutabili kuwa bitcoin itafikisha thamani ya $5000 kutoka $2000 kabla ya December 2017 na kweli ikafika na amesema ametumia maksio yale yale aliyoyatumia kutabiri thamani ya bitcoin kuwa $5000 December 2017 kutabiria $1million December 2019

Yetu macho kusubiria kumuona live mzee baba akiutafuna uume wake hapo December 2020 au kuona ongezeko la tech billionaires
 
Back
Top Bottom