maforce
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 660
- 615
jibu swali uliloulizwa ili tufanye sensa hapaWatu wanakufa sana, hakuna mahali ugonjwa ambako haujafika.
Hao wanaotangazwa ni kwa sababu wana watu wa kuwatangaza.
jibu swali uliloulizwa ili tufanye sensa hapaWatu wanakufa sana, hakuna mahali ugonjwa ambako haujafika.
Hao wanaotangazwa ni kwa sababu wana watu wa kuwatangaza.
jibu swali uliloulizwa ili tufanye sensa hapa
Yaani watz unauliza hiki wenyewe wanajibu hiki,ni kitendo cha sekunde chache tu kujibu na option zote zipo ila sasa.
Sijui hata nikujibuje ila behave weweWewe umejibu nini hiki.?
Mukhi haziitwi ''helementi''! Ni Helmet. Umenikumbusha wazee wa kocha kabadilisha ''information'' badala ya ''formation''!
Yaani watz unauliza hiki wenyewe wanajibu hiki,ni kitendo cha sekunde chache tu kujibu na option zote zipo ila sasa.
You have a point..
Corona inaua kuanzia miaka 45 au awe na magonjwa
Na watu ambao sio active ..
Sio bodaboda Tu hata mafundi ujenzi umri below 40 si rahisi kusikia..
Boda Boda wengi Wana Corona na hawajijui
Ni carriers..wanasambaza..sio rahisi kuugua wao
Binafsi sioni sababu ya ku-vote.
Siyo swala la lazima.
Lengo la mleta mada ni vote yako tena kwa upande wa bodaboda.Hayo mengine hayahitaji.mkuu kama kiongozi kuwa wa mfano basi,ulipaswa kujibu kwanza hoja ya mleta mada alafu ndio utuponde sisi watz.
kirusi kipo na kinaua mtu awaye yoyote sio mtoto,kijana wala mzee.
Should I say almost everyone in Tanzania is foolish? Watanzania wengi hawajawa informed kuhusu ugonjwa wa korona lakini wanavyopiga kelele utafikiri ni wataalam. Waendasha bodaboda wengi wako kwenye bracket ya 18 to 30 years old. Hili kundi duniani kote halijaathirika sana na madhara ya hawa virus. Vifo kwenye hili kundi ni vichache sana na vingi vimetokea kwa wale wenye underlying conditions nyingine. Lakini hili kundi ni hatari sana katika kusambaza virus. Hii ni kwa sababu siyo kwamba hawapati virus, la hasha. Wanapata kama makundi mengine ila hawaugui sana. Hii inawafanya wawe wasambazaji wabaya sana wa hawa virus (silence killers). Ndiyo maana unaona sehemu nyingi shule zimefungwa ili kuepusha virus kusambaa sana.
Respondents wa haya maswali walipaswa kuwa bodaboda na sio wauza Tangawizi na malimaoYou have a point..
Corona inaua kuanzia miaka 45 au awe na magonjwa
Na watu ambao sio active ..
Sio bodaboda Tu hata mafundi ujenzi umri below 40 si rahisi kusikia..
Boda Boda wengi Wana Corona na hawajijui
Ni carriers..wanasambaza..sio rahisi kuugua wao
Ndio nawafahamu
NoShould I say almost everyone in Tanzania is foolish?
Hao waendesha bodaboda wachache wasio kwenye bracket ya 18 to 30 years old, ushasikia yeyote kafa kwa korona?Waendasha bodaboda wengi wako kwenye bracket ya 18 to 30 years old.
Hii ni kwa sababu siyo kwamba hawapati virus, la hasha. Wanapata kama makundi mengine ila hawaugui sana.
Mukhi haziitwi ''helementi''! Ni Helmet. Umenikumbusha wazee wa kocha kabadilisha ''information'' badala ya ''formation''!