Unam-treat FAIRLY house girl wako?

yap! Am glad to join the home of great thinkers, by the way your house girl must be treated with respect because the whole family life is in the hands of a house girl so be keen enough on the way you handle your house girl. Rem. Example, all of you are seated in one van and at a high speed you start a fight with a driver, what will happen? Will people not mourn you?
 
Mimi nilkuwa naye nikawa namlipa 50,000 kwa mwezi kula kulala na mengine yote kasoro sex kwangu, lakini wapi bwana. Ndege wengine hawafugiki kwa kweli.

Mimi wangu anakama miezi 3 au 4 hivi na anaishi kama famili member,tunampenda na yy anatupenda sana hata mtoto anayemlea kwa kweli anampenda sana km mdogo wake kwa vile tunamjari,kuhusu kumfungulia account nilipata wakati mgumu coz hana cheti cha kuzaliwa na kadi ya kupigia kura alikua hana but niko kwenye mchakato wa kumtafutia affidavit mahakamani ili niweze kumfungulia account,familia yao huwa wanakuja home na wanafuraha sana.
Nawashauri wenzangu wanaoishi na wadada wa kazi wawapende km wanavyowapenda watoto wao coz wanatusaidia sana
 
Duh, hii ni nyanja nyingine ambayo ni pasua kichwa sana.

Ili umsaidie mtu, lazima na yeye ajitambue ndipo mtu mwingine waweza msaidia.

Unakuta mwingine hataki kabisa kujiendeleza na hayuko tayari, inakuwa ngumu sana kumsaidia.
Suala la kumwekea akiba ya uzeeni, kinadharia linawezekana ila kiuhalisia ni gumu. Mshahara wa wewe mwenyewe uliyemwajiri kukufikisha mwisho wa mwezi ni kwa mawazo, sasa utakumbuka NSSF ya msaidizi wa home? Achia mbali mshahara?
 
mtoa mada,we ndio mwenyekiti wa chama cha mahausigeli?maswali yako yote mbona majibu yake ni hapana hapana?kwa nini hujauliza swali hata moja ambalo jibu ndiyo?malipo ya uzeeni?we kiboko!
 
ngoja nikienda ktk vikao vya harusi kuanzia leo nachaji bei ya mc na music nawaongezea na malipo ya uzeeni!
 
anyway,mi nakaa na dada ambaye ni ndugu yetu kabisa!naamini anafurahia maisha,kula anaogopa kula kabla ya baba,baba mwenyewe ratiba zangu tata,this moment sijarudi niko ukumbini triple A nasimamia kazi yangu ya mapambo!so tumempa uhuru wa kujiwekea menu pembeni!kifupi kwangu ni kwao!angeandika mwenyewe hapa ingekuwa vema!isije ikawa najipendelea!
 
naandika kwa masikitiko sana...mahaucgel wachache sana wana akili za kiukwel lakin waliojaaa hata ukiwapenda vp ni kaz bure utamfanya km familia,utamweka usawa kwa wote wa familia, so beta vingne ukamchinjia njia panda tu...niwape mkasa mdogo tu.......ndugu yangu wa karibu kabisa imemkuta hii.alikuwa anampenda sana haucgel wake na tena ukuifika mgen hutajua km ni hausigel,na katika nyumba ile alikuwa na kaz ya kuangalia mtoto.baba na mama kazin,gafla wakashangaa yule mtoto alikuwa na miaka kama miwili na nusu hv,akawa na fangasi za mdomo haziishii hangaika na mtoto hakuna mabadiliko,siku ya siku yule mama alirud gafla home,akaingia ndan kaona kim,apite aelekee chumban kwake inabidi aupite mlango wa hausigeli,akasikia saut y mguno (kimahaba zaid)akasukuma mlango kwa nguvu akakuta mtoto ananyonya sehem za siri za HAUSIGELI....baada ya kumbana hausigel akasema alimfumdisha mtt kufamya hivyo..............so hawa watu aiseee hapana heri umlaze tu kwenye banda la kuku hata akijafanya upuuz utajiridhisha nawe aaaaah!
 
He mie nilishapitia dizaini nyingi tu, kuna mmoja alikuja kwangu siku ya kwanza iterview akaomba advance ili akatoe mimba yake ili afanye kazi vizuri, huyo sikumtendea haki kwani nilimtimua.
mwingine tuklikaa nae tangu hajui hata jinsi ya kushika kitasa cha mlango wa kawaida miaka6 tulielewana sana, namkumbuka milele alitoka kwangu na pikapu imejaa assets zake. Kwa ajili ya kumpa free kuzurura kila j2 alipata mchumba feki, akampa mimba na akamuambia awahi kwao ili aje ajitambulishe kumbe ilikuwa gia ya kumtoa mjini, masijini dada saa hizi ni wa kuonea huruma, tunampa misaada tunapoweza ila wanaume acheni kudanganya wasichana wa kazi!!! Sometimes hio kazi ndio the only chance ya kutokea. Kama huyo wangu alikuwa anasoma QT, anashona na alikuwa assets zote basic, wazazi wamantegemea, kauza vyote!
 
hawa watu(mahg) wanakutana na changamoto au matatizo mengi,kuna case moja niliishuhudia miezi kadhaa iliyopita..nilikuwa kwenye hotel moja ivi maeneo flani,nilikuwa napata lunch,pembeni yangu kulikuwa na familia moja yenye asili ya kiasia walikuwa wanapata lunch na wenyewe,walikuwa na mdada ambaye ana asili ya kibantu,alikuwa kampakata mtoto wa kama miaka 2-4 ivi mtoto mwenyewe naye alikuwa na asili ya kiasia,kilicho nikera ni wale member wa ile familia kuconcentrate na kula,kunywa na stori huku waki muignore yule binti kabisa kama hawakuwa naye vile na mbaya zaidi alikuwa anasumbuliwa mno na yule mtoto aliyekuwa amemshika na hakupata msaada wowote kutoka kwa member wa ile familia kumbembeleza na yale mamisosi yote walikuwa wamejirundikia wao tu yule binti akawa na bite2 tu anatafuna na ukiangalia nguo zake alizovaa mmh ilikuwa ni aibu kwa mazingira yale,ilinikera mno nikareflect enzi zile za utumwa ndo nikachoka kabisa kuendelea kuwepo maeneo yale iliniuma sana kiukweli walichokuwa wanamfanyia yule mdada.
Sio ubaguzi wa rangi lakini kwa kweli kufanya kazi kwa hawa ndugu zetu wenye asili ya Asia ni mateso tupu. Hawana utu hata kidogo. Na hii si kwa ma-house maids tu bali ni kwa kazi ya aina yoyote hata zile za viwandani au madukani.

Lakini kazi za uhudumu wa nyumbani hali huwa ni mbaya zaidi kwani unakuwa peke yako hata mtetezi huna. Nadhani ni wakati muafaka kwa serikali kuangalia kwa undani sekta hii ya uhudumu hasa wa ndani. Najua sheria zipo, lakini sasa ni wakati muafaka wa wahusika kuhakikisha zinafuatwa barabara.
 
Ni jambo zuri kuweka uzi kama huu ili watu wapate kuujadili kwa pamoja.
Ni kweli kwamba kutokana na mfumo wa utafutaji siku hizi, familia nyingi zinalazimika kuwa na msaidizi kwa ajili ya watoto na kupunguza workload ya kazi za nyumbani. ni jambo la kusikitisha kuona kwamba kuna baadhi yetu hatuwatendei haki wasaidizi hawa ambao ni muhimu kwetu na kwa majaaliwa ya familia zetu.
Nimefurahishwa na michango ya wenzangu na ninaendelea kuufuatilia mjadala huu.
 
mtoa mada,we ndio mwenyekiti wa chama cha mahausigeli?maswali yako yote mbona majibu yake ni hapana hapana?kwa nini hujauliza swali hata moja ambalo jibu ndiyo?malipo ya uzeeni?we kiboko!

unadhani hawastahili malipo ya uzeeni? unaposema majibu yote hapana hapan ina maana humpi likizo wala mapumziko hg wako?
 
asante kwa kulileta hili hapa,nina ndugu yangu mmoja ivi ana tabia ya kumnyanyasa msaidizi wake wa kazi kila saa anamgombeza na kumpiga makwenzi na vibao bila hata sababu ya msingi,mara ampimie chakula,asiingie sebuleni yaan vitu vya ajabu ajabu tu na ukimuuliza kwanini anamfanyia ivo mtoto wa watu ana msemo wake "fuata yaliyo kuleta".afu anamlipa mshahara elfu kumi wakati anafanya kazi nyingi kweli.Jamani hii sio tabia nzuri kabisa sijui wanawake wengine wakoje?

Huyo ndugu yako hajui wala haelewi hulka ya binadamu. Ukimtenda mtu vibaya hasa hawa mahouse girl wetu, lazima atalipiza kisasi kwa sirisiri bila wewe kujua. Mara nyingi kisasi hicho hulipwa kwa watoto wako hasa wale wadogo. Kuna thread moja nimesoma hapa Jf, yenye kueleza jinsi mfanyakazi wa nyumbani alivyoweka menstrual blood yake kwenye uji wa watoto!Ingawa thread haikueleza sababu ya huyo mfanya kazi kufanya hivyo, mimi naona huenda ni aina ya kisasi kwa kuchukia anayofanyiwa na waajiri wake. Mkanye sana huyo nduguyo, ayafanyayo yatamrudia ama direct kwake au kwa watoto wake.Unakikumbuka kile kisa kilichotingisa Dar pale mfanya kazi mmoja wa nyumbani alipomweka mtoto wa mwajiri wake kwenye oven akaiwasha na kuondoka zake? Mtu tunaemkabidhi nyumba, watoto, ni lazima atunzwe sana na kuheshimiwa.
 
Huyo ndugu yako hajui wala haelewi hulka ya binadamu. Ukimtenda mtu vibaya hasa hawa mahouse girl wetu, lazima atalipiza kisasi kwa sirisiri bila wewe kujua. Mara nyingi kisasi hicho hulipwa kwa watoto wako hasa wale wadogo. Kuna thread moja nimesoma hapa Jf, yenye kueleza jinsi mfanyakazi wa nyumbani alivyoweka menstrual blood yake kwenye uji wa watoto!Ingawa thread haikueleza sababu ya huyo mfanya kazi kufanya hivyo, mimi naona huenda ni aina ya kisasi kwa kuchukia anayofanyiwa na waajiri wake. Mkanye sana huyo nduguyo, ayafanyayo yatamrudia ama direct kwake au kwa watoto wake.Unakikumbuka kile kisa kilichotingisa Dar pale mfanya kazi mmoja wa nyumbani alipomweka mtoto wa mwajiri wake kwenye oven akaiwasha na kuondoka zake? Mtu tunaemkabidhi nyumba, watoto, ni lazima atunzwe sana na kuheshimiwa.
Kumnyanyasa msaidizi wa ndani ni sawa na kununua gari ya milioni 500 halafu unaiwekea bima ya third part.
 
He mie nilishapitia dizaini nyingi tu, kuna mmoja alikuja kwangu siku ya kwanza iterview akaomba advance ili akatoe mimba yake ili afanye kazi vizuri, huyo sikumtendea haki kwani nilimtimua.
mwingine tuklikaa nae tangu hajui hata jinsi ya kushika kitasa cha mlango wa kawaida miaka6 tulielewana sana, namkumbuka milele alitoka kwangu na pikapu imejaa assets zake. Kwa ajili ya kumpa free kuzurura kila j2 alipata mchumba feki, akampa mimba na akamuambia awahi kwao ili aje ajitambulishe kumbe ilikuwa gia ya kumtoa mjini, masijini dada saa hizi ni wa kuonea huruma, tunampa misaada tunapoweza ila wanaume acheni kudanganya wasichana wa kazi!!! Sometimes hio kazi ndio the only chance ya kutokea. Kama huyo wangu alikuwa anasoma QT, anashona na alikuwa assets zote basic, wazazi wamantegemea, kauza vyote!

so sad with bad ending
 
unadhani hawastahili malipo ya uzeeni? unaposema majibu yote hapana hapan ina maana humpi likizo wala mapumziko hg wako?
Watu wanadhani "Mafao ya uzeeni" ni lazima mtu asubiri hadi azeeke ndo alipwe. Kwa wale wanaofanya kazi za kuajiriwa watakubaliana na mimi, wengi huchukua mafao yao pale tu wanapoacha kazi sehemu moja, huwa hakuna haja ya kusubiri kuzeeka.

Vivyo hivyo msaidizi wa ndani kama mfanyakazi mwingine anastahili kuwekewa sehemu ya malipo yake ambayo atakabidhiwa pindi mkataba wake wa kazi unapokatika kwa namna yoyote ile. Hii inaweza kukusaidia hata wewe mwajiri kutohangaika kumtafutia nauli ya kurudi kwao kwani tayari atakuwa na akiba ya kutosha.

Tujenge utaratibu wa kuwafungulia wasaidizi wetu akaunti kwa ajili ya akiba yao itakayowafaa baadaye.
 
wetu alivyonilea nikaanza shule ya msingi, alianza kusoma masomo ya Qt akamaliza kidato cha nne, cha sita, chuo UD Education na sasa ni Head mistress sekondari flan hapa Dar, ameolewa na mtoto wake anasoma international school ambayokwetu sote hatujawah kusoma kwa uwezo wetu na amekuwa msaada mkubwa sana kwetu pia wakiwezeshwa wanaweza kuleta mabadiliko kwao na kwa familia yako pia maana kuna kupanda na kushuka katika maisha.
 
Sasa swali linakuja:

Hivi housegirl wako unampa treatment zinazostahili kweli?
Hapana, najaribu kumkalia mbali na hizo "treatment zinazostahili," naepuka majaribu.
-Unakula naye meza moja na chakula kimoja kama unachokula wewe, au ndo vile tena wewe na familia yako mnakula mapochopocho hapo dining room wakati yeye mnamfutika huko stoo akila makombo?
Sijui anapokula, na sijui anakula nini.

-Analala mahali panapostahili, au ndo kumweka sebuleni mbu wakimmaliza.
Sijui analala wapi.
Umempa mkataba wa uhakika kwa mujibu wa sheria za kazi?
Ndio.
-Unamlipa mshahara unaostahili na kumwekea akiba ya uzeeni?
Mshahara tuli negotiate wakati wa job interview, kwani mshahara unaostahili ndio upi? Akiba ya uzeeni siwezi kumuwekea kwa sababu sina haki kisheria kutunza akiba za mtu.

-Unampa bima ya afya na matibabu ya kiutu?
Matibabu ya kiutu nampa, simpeleki veterinary hospital akiugua, bali hospitali ya watu, kama akiugua kazini. Akiugulia barabarani kwa kweli sijui anaponelea wapi. Mimi kazini kwangu sina bima ya afya ya kutosha, ya mfanyakazi wangu nitaitoa wapi?

-Unampa likizo ya siku 28 kila mwaka?
hapana, sio siku 28, industry standard ilivyo ni kwamba hakuna mtu anampa likizo mfanyakazi wa ndani siku 28, kuna mfanyakazi mmoja, akienda likizo nani apike?

-Unampatia elimu stahiki? Kumbuka wengi wameingia kwenye kazi hiyo kwa sababu hawakupata fursa ya kuendelea na masomo kwa sababu mbalimbali nyingi zikiwa za kiuchumi, lakini si kwamba hawana uwezo kiakili. Au unamtumia tu kama toiletipepa?
Hapana, kuna taasisi zinatoa mafunzo ya shughuli za ndani lakini kakataa, hana mpango wa kuwa mfanyakazi wa ndani milele, na zaidi ya hapo sijaona elimu nitakayomsomesha itakayoweza kunisaidia mwajiri kikazi.
-Humpi manyanyaso ya kumfokeafokea bila sababu maalum?
Bila sababu maalum, hapana.
-Unampa mapumziko yanayostahili au ndo vile akiamka saa kumi analala saa saba.
Anataka overtime, hataki kupumzika pumzika bila sababu.

-Unaporudi kazini anakufurahia kama baba/mama au ndo anakereka kwa kujua muda wa kukaa kwa hofu umefika sasa.
Hapana, mi si mama yake wala baba yake, nimemwajiri. Sijui kama ana hofu, ana nidhamu ya kikazi.

-Unamsaidia kazi pale panapostahili?
Hapana, kila mtu ana kazi zake hapa ndani, akifanya kazi zake analipwa.

-Mara moja moja unamnunulia japo mavazi na kumfanya kama mmoja wa familia yako? Au ndo vile tena gauni refu hadi linaburuza chini, kila siku hilo hilo....
Hapana, namuoana anavaa nguo, kwa hiyo natumaini anatumia mshahara kujivika.
 
naandika kwa masikitiko sana...mahaucgel wachache sana wana akili za kiukwel lakin waliojaaa hata ukiwapenda vp ni kaz bure utamfanya km familia,utamweka usawa kwa wote wa familia, so beta vingne ukamchinjia njia panda tu...niwape mkasa mdogo tu.......ndugu yangu wa karibu kabisa imemkuta hii.alikuwa anampenda sana haucgel wake na tena ukuifika mgen hutajua km ni hausigel,na katika nyumba ile alikuwa na kaz ya kuangalia mtoto.baba na mama kazin,gafla wakashangaa yule mtoto alikuwa na miaka kama miwili na nusu hv,akawa na fangasi za mdomo haziishii hangaika na mtoto hakuna mabadiliko,siku ya siku yule mama alirud gafla home,akaingia ndan kaona kimy,apite aelekee chumban kwake inabidi aupite mlango wa hausigeli,akasikia saut y mguno (kimahaba zaid)akasukuma mlango kwa nguvu akakuta mtoto ananyonya sehem za siri za HAUSIGELI....baada ya kumbana hausigel akasema alimfumdisha mtt kufamya hivyo..............so hawa watu aiseee hapana heri umlaze tu kwenye banda la kuku hata akijafanya upuuz utajiridhisha nawe aaaaah!
Vaislay,
Kwenye jamii kuna watu wa aina tofauti.
Si ajabu kukuta mtu mwenye tabia kama za huyo uliyemwelezea kwa sababu naye ni sehemu ya jamii. Hata asingekuwa katika kazi hiyo, angekuwa labda Meneja fulani hivi, bado angeweza kufanya huo mchezo wake kwa sababu ni tabia yake. Hii haimaanishi kuwa yeye ndo anajumuisha tabia za wahudumu wengine wote ndio wako hivyo.

Nasikitika kwa kilichompata huyo mtoto kwani mbali ya maabukizi ya maradhi tayari ameshaathirika kisaikolojia.
Na hilo ni funzo kwetu wazazi kwamba kumpenda na kum-treat vema msaidizi wako haimaanishi kwamba ndi umwamini kupita kiasi kwamba kila kitu unakiacha "kijiendee".

You have to take control of your family.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom