Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Can anyone explain us about this AREA in detail ???
 
Attachments

  • IMG_3966.JPG
    IMG_3966.JPG
    80.4 KB · Views: 13
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.
Kama hao viumbe wamemsahau mwenzao means ni washamba,na wapumbavu
 
ALIENS NI VIUMBE GANI?
Hawa ni viumbe vya nguvu za giza vinavyokaa au kumiliki anga. wanaojua mambo ya mapepo wanajua hili vzr sana. kuna viumbe wanamiliki na kuishi majini na wana mkuu wao na kuna viumbe vinamiliki anga na wana mkuu wao wa anga. uko ndiko sayansi yote ya dunia inatokaga uko.Je unaweza kufika vipi uko au kuwasiliana nao.? APA DUNIANI Kuna vyama vingi sana vya kichawi au nguvu za giza amabapo wanachama wao upew madaraja. wale amabao wamefika madaraja ya juu kabisa katika tasinia ya mambo ya nyota ndio huweza kufika uko juu angani kwa hao mapepo yani kwa mfalme wa anga na uyo mtu ataweza kufikishwa adi kwenye chuo kikubwa kabisa cha mabo ya ugunduzi wa kisayansi na technologia ambapo hufundishwa zen huja uku duniani na kusema wamegundua au wamevumbua kitu. ivyo kuusu viumbe hivi vya aliens ni kuwa hivi ni mapepo au mashetani na mabo haya yanafanyika kichawi.Naomba nishie apa ila tambueni iyo nchi mnayoizungumzia inatawaliwa na kuendeshwa na mila na desturi cha kichawi. Naishia apa kwasababu watakaonielewa ni wachache sana ambao eiza wapo ndani ya sociaty za kichawi au uwe mtu unyemjua Mungu wa kweli ambaye ni mwanzo na mwisho. elimu hii kuusu mapepo yanayomiliki angha ni ndefu.... Okoka mwisho umekaribia sana
good ....kweli kabisa hakuna aaliens wala nini ni shetani yupo huko
 
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK

Elon Musk inasemekana ni mmoja wa jamii hiyo.
 
Aliens ni viumbe vya Mungu Bali sio mashetani wala sio viumbe vya giza

Marekani ni Taifa iliyobarikiwa na Mungu ndio maana ina tumia viumbe hivi vya Mungu kuisaidia kwenye ugunduzi na mimi nilithibitisha kweli vipo ila sio kuwa ni viumbe vya kishetani
 
hizi akili za hovyo hovyo kwa hiyo hivo viumbe mungu aliviambia vikakae marekani tu visiende afrika au ujerumani au urusi vimeambiwa vikalishe amtakk yao pale area 51 eti bwashkheee...
 
Aliens ni viumbe vya Mungu Bali sio mashetani wala sio viumbe vya giza

Marekani ni Taifa iliyobarikiwa na Mungu ndio maana ina tumia viumbe hivi vya Mungu kuisaidia kwenye ugunduzi na mimi nilithibitisha kweli vipo ila sio kuwa ni viumbe vya kishetani
Umeshatawaliwa kiakili wewe
 
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani hukutana na viumbe vya ajabu na kupewa siri na maarifa ya kisayansi jinsi gani ya kuitawala dunia.

Na hapo ndipo kiumbe cha ajabu kilipoifadhiwa baada ya kukamatwa na majasusi wa marekani miaka ya 90 baada ya kuachwa na wenzake waliotoroka kusikojulikana na chombo chao UFO na kumsahau mwenzao aliekuwa mbali na kuishia mikononi mwa majasusi wa Marekani.

Si rahisi kwa mtu wa kawaida kufika uko hata mtawala wa marekani hufika uko kwa kiapo , na mara moja kwa miaka 10.
Kwanini wasikiulize hicho kiumbe kwanini Urusi ni msumbufu kwa majirani
 
Back
Top Bottom