Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Achane kutudanganya mpaka Leo hakuna aliesibitisha uwepo wa alliens au viumbe popote ukiacha hapa duniani ..wana nazaria za kufikirika tuh ila hakuna ukwel
 
Kama ni kweli ina maana huyo kiumbe hazeeki!?
Je, si angeliwapa ujanja wa kuwabana IS haya huyo Enwazi!?
Jf bwana si mchezo
mkuu unajua vifaa vya kivita vinavyotumiwa na makundi ya kigaidi vinatoka hapo Kwa huyo jamaa.
lengo kuu la hivyo vikundi ni kunyakua mali asili za watu wa nchi husika
rejea alichomfanya Gaddafi na hakuna nchi yoyote iliokoroma kumkemea
 
Itakua unatoka MIT ,kisha unaingia kufanya kazi zaidi Area 51 ( mtazamo Wangu )
Area 51 ni moja kati ya maeneo ambayo ndani yake kuna maabara za Undeground ambapo testing zote za mambo ya technolojia yanafanyika....

Moja ya kitu kinachofanyika Area 51 sub base 3 tunnel 9.0 ni human cloning project ambapo ni mambo ya siri nzito sana...

Huko ndo wanapikwa watu mbadala kwa ajili ya kuja huku duniani kureplace the lost and captured one..
Ndani ya area 51 kuna turnel zinazoasafiri umbali mrefu sana kulifanya eneo hilo kuwa na miji midogo ndani( sub underground cities) ambazo kazi yake ni kutest makazi na utendaji kazi wa viumbe hao wapya..

Lakini pia Viral innoculation testing ndo zinafanyikia mule ndani..

zikitoka nje huku ni kuja kufanya kazi kwetu tu...

Ni hatare sana chief .....

we have to dance with this frequency ya maangamizi...who is to survive now...between me and you...who gonna start to unolock the pattern of reality and work in right way ??

kazi ipo....stay awake
 
Mkuu umenifungua sana khs Area 51, na mambo yake ,huwa naisomaga tu kwa juu juu
 
Mkuu umenifungua sana khs Area 51, na mambo yake ,huwa naisomaga tu kwa juu juu
Mkuu Area 51 sio sehemu ya ajabu sana kama inavyoelezwaga na watu,ni sehemu ya kawaida tu kama sehemu nyingine,unajua watu wanaionaga Marekani kama kipande cha Mbingu na maana makazi ya MUNGU lakini si kweli.Hapa duniani kuna sehemu nyingi tu kama Area 51.Na maana ya Area 51 ni code name iliyokuwa inatumiwa na wanajeshi wa Marekani waliokuwa vitani Vietnam ili kuwaficha maadui zao juu ya mahali au eneo kilipo kituo hicho.Kwa kufupisha Area 51 ni eneo la siri ambapo hufanyika tafiti za siri sana kuhusu sayansi na teknolojia za juu sana za vitu na silaha,hususan silaha.Sasa kwa hali hiyo kuna maeneo kam hayo yapo kwa kila nchi kubwa zenye sayansi na teknolojia ya juu sana lakini kila nchi ina jina lake.UK,FR,RUSSIA,GERMAN,CHINA ,CANADA,USA,JAPAN etc wana maeneo kama hilo eneo, na lengo ni hilo hilo.Ila kwa sababu Marekani watu wanaiona kama ni kitu ama nchi ya kipekee.lakini sio cha kipekee.Area 51 hakuna vitu inafanya wengine hawafanyi,tofauti niuwezo tu.
 
Palantir
Malcom Lumumba
Da'Vinci
wakuu salamu"" kwni hamkuiona hii topic hebu tieni neno tafadhali ..mpaka muda huu bado Nipo nusu nusu..kama sio robo kilo."" naamini then siamini
Hakuna kitu cha ajabu sana AREA51,hata Russia wanayo yao Inaitwa Kapustin Yar yanayofanyika huko ni sawa na yanayofanyika Area51,jina Area 51 ni jina la siri tu la kijasusi ama kijeshi kuwaficha maadui zao.Nadhani eneo hilo liko Nevada.UK,CHINA,GERMAN FRANCE etc wana maeneo kamahayo pia,watu wanapenda kukuza mambo sana juu ya USA ili ionekane kama sehemu ya peponi iliyopo duniani.Nilishawahi kuandika juu ya AREA 51 ya Urusi na mataifa mengine,tena inaoneka ya Urusi ina siri kali zaidi.
 
Me siamini katik hizo dhana!.. Ni hoax tu za watu kuishi kwenye fantasy dreams zao!.. Hao alien iweje waonekane Ulaya tu?, je Africa haiwezekani kuwaona ukiitoa Zimbabwe waliposema walionekana!.
Area 51 ni eneo la Research and Development so kuwa secured ni jambo la kawaida ili kulinda vumbuzi zilizopo pale, sawa na Kapustin Yar kule Russia!. Amini haya mataifa yaloendelea lazima yawe na maeneo ambayo ni Classfied ili kulinda research zao, ndio maana hata Russia ana miji ambayo mgeni huruhusiwi kuingia (Closed City) je tujiulize humo wanakaa watu gani ambao wageni haturuhusiwi kukutana nao?.
Na hao Alien kama kweli wapo advanced kutuzidi iweje vumbuzi zingine zitoke nchi masikini kama Africa si wangekuwa wamezileta tayari wao?..
Mwingine anakuja na notion Wazungu wanatumia Uchawi sasa mbona Africa karne ya 21 bado tu wachawi na masikini au kuna jini/shetani la kizungu na kiafrica?. Kama wazunhu wachawi si wawapige Vipapai Putin, Asad, Kim na Jin ili waweze kufanya yao kwa amani!.
Wenzetu waliacha Imani za kichawi kwenye kizazi cha mwanga na kuuliza (age of enlightment and reason) karne ya 18 kipindi wapo Lost Generation lakini sisi hadi leo Generation X na Millenial generation tumestick nao tu.
Nimeamua kukuheshimu zaid kwa mchango wako huu.uko vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom