Unalia na mabadiliko, je wewe umebadilika..? soma hapa

Sep 12, 2012
18
7
Imekua ni tabia iliyojengeka kwa watanzania na hasa vijana kulilia mabadiliko nchini.. hasa kisiasa, kiuchumi na kijamii., hii imedhihirika mtaani na hapa jamvini (JF)

Kumbuka yale tunayofanya kila siku at an individual level ndio yanayoifanya/yatakayoifanya Tanzania ya kesho. Kesho wewe ndio kiongozi serikalini, kwenye NGO, katibu mkuu/bosi wizarani, au bosi katika kitengo nyeti nchini..

swali; Je? Wewe umebadilika?? nini umekifanya/unakifanya kuleta mabadiliko katika jamii inayokuzunguka? (just pale mtaani unapoishi au kazini) What are you doing to help/make a change and influence others?

Tafadhali share/post yale uliyoyafanya/unayoyafanya katika jamii inayokuzunguka yanayokupa haki ya kuzungumza/kuwalaumu/kuwarekebisha wengine wanapokosea...

It always start with u...
 
Naweza hapa nilipo nikajikweza katika hali niliyonayo but mazingira ya mabadiliko ya uhakika hutengenezwa ba serikali iliyopo madarakani. Unataka kutuambia kuwa huduma muhimu za jamii ambazo hutokana na kodi zetu sisi ndo tuchangie tena vijisenti vyetu?? labda kama sijakuelewa.
 
Wengi wa wachangiaji watashindwa kuchangia katika hilo, ila kwaukweli wanajua wenyewe kwmw kweli wamebadilika au vipi.
 
Wengi wa wachangiaji watashindwa kuchangia katika hilo, ila kwaukweli wanajua wenyewe kama kweli wamebadilika au vipi.
 
Naweza hapa nilipo nikajikweza katika hali niliyonayo but mazingira ya mabadiliko ya uhakika hutengenezwa ba serikali iliyopo madarakani. Unataka kutuambia kuwa huduma muhimu za jamii ambazo hutokana na kodi zetu sisi ndo tuchangie tena vijisenti vyetu?? labda kama sijakuelewa.

kama ilivyo mbuyu unaanza kama mchicha, ili kufika milioni lazima uanze na mia., ndvyo ulivyo uhusika wako katika mabadiliko ya nchi hii
 
Back
Top Bottom