Unakuwaje mpinzani wa kweli ilhali ni mtu usiye na msimamo ulio THABITI?!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
2,034
Points
2,000

alexelias

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
2,034 2,000
Mimi nacheka sana!

Hivi,mpinzani wa kweli ni yupi hasa?

Ni km wapinzani wa nchi fulani wadandia hoja zilizo mfu?!

Ni km hawa wazee wa kubadirisha anga juu kwa juu?

Ni km hawa wasiyo na msimamo wa hoja zilizo endelevu?!

Ni km hawa wazee wataka huruma na wasingizia kuonewa kwa kila kitu?!

Ni wepi hasa wapinzani walio wa kweli?!

Jamani tuache utani. Huwezi ukawa mpinzani wa kweli kwa kulialia na kujionyesha kuwa unaonewa kwa kila jambo.Hata km uonevu huwa basi si kwa namna ambayo wapinzani wanataka tuamini-ni UMBUMBUMBU!

Wapinzani fanyeni na pambaneni na hali zenu na msitake eti tuwaonee huruma!Pambaneni kiume!
 

Forum statistics

Threads 1,389,657
Members 527,997
Posts 34,031,342
Top