unakumbuka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unakumbuka wapi?

Discussion in 'Entertainment' started by Kakulwa, Feb 6, 2009.

 1. K

  Kakulwa Senior Member

  #1
  Feb 6, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wakuu hii kitu mimi nikiisikia huwa natamani kulia siyo siri.Nakumbuka enzi hizo old good days niko olevel na demu wangu 1997.
  sikuhizo utakuta sister du ana counter book ya 4quire halafu kajaza haya manyimbo ya kimarekani...ukianza na tony braxton na another sad love song na nyingine za kina monica,brandy basi anakuimbia zote.
  du ningekuwa na uwezo ningerudisha miaka nyuma ili niendelee kula raha ile unajua tena denti unavuta mkwanja kiulaini toka kwa dingi wewe kwenda shule,tution na kuchapa totoz tu...
  hii kitu wakuu nisiongee mengi sana,inaitwa nobody ya keith sweat,wewe mkuu inakukumbusha nini?
  [media]http://www.youtube.com/watch?v=l2Gb2SH0hFk&feature=related[/media]
   
  Last edited: Feb 6, 2009
Loading...