Unakumbuka tukio gani ulilonusurika na ukaamini ni mkono wa Mungu umekunusuru?

Unabahati sana mkuu ajari za naoa huwa hazi achi mtu salama kabisa
Aisee kama siku zako zipo zipo t

Niliwahi pata ajali na Noah njia ya Msanga ni Mungu tu ilipiga sarakasi Mara tatu ikaenda bondeni ikakaa miguu juu nilikuwa na rafiki yangu niliuumia tu kidole kidogo ila gari haikufaa tena watu wavijijini na trafic police walishia tu kushangaa.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki tokea dharula Na #uka Lazimika kutembea usiku hasa mitaa yenye vibaka zingatia yafuatayo:

Beba siraha yyte ndogo kama kisu screw driver zile ndefu (bisi bisi) kwa ajili ya kuwa weka sawa vibaka pale maji ya kizidi unga

Hata kama sio mvutaji wa sigara nunua sigara yako moja sports , embassy , au hata nyota SM za wachumba achana nazo

Wakat unatembea na kukaribia eneo lao washa kisha vuta huku #una katiza eneo hilo na tembea kwa kujiamini % zote bila woga

Waarabu wa pemba ujuana kwa viremba na ukifwatwa na kibaka yyte ujue shida yake ni kugongea sigara na sio kukufanyia wizi
SM ni sigara za wachumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh.. .

Nilikaa I.c.u..mda sana tu..

Lakini ajabu..nilikuwa pembeni ya mwili wangu ulipolala...natoka na kuingia wodini...naona ndugu na madoctor...tatizo nilikuwa siwezi kushika mtu au kitu wala kuongea na nikitembea nilikuwa sikanyagi ardhi!

Nikajiuliza sana sana...kwa nini iwe hivi? jibu sikupata!

Kwa ufupi...nilirudi .. katika hali ya kushangaza mno.
Lakini ndugu zangu ... huu ulimwengu
una mapana!



Sent using Jamii Forums mobile app
mzee tupe maelezo zaudi, natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe binafsi unaweza usiamini nitachokwambia!

Hii ni uone mwenyewe ..

Lakini mimi mpaka mochuary nimefika!

Nimepokea chupu chupu kuzikwa..

Kama sio udadisi na ubishi wangu na wa baadhi ya watu...ningezikwa najiona!

...kuna mengi !

Mpaka leo natoa sana sadaka ...

Miujiza ipo..



mzee tupe maelezo zaudi, natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2007 kama sikosei ilikua tabora wilaya ya sikonge kata ya tutuo kijiji cha utawambogo tulikua tukichunga ng'ombe mimi na watoto wenzangu wa2 mara pah tuliona mkaka mmoja yupo mwendo hatari akapita fyaaa nyuma kafukuziwa na tembo
Aisee kwanza ule uoga minakumbuka nilikata moto palepale yaani nilikuja kustuka napewa taarifa yule jamaa wameahamzika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom