Unakumbuka Tetemeko la Rukwa 1910?

Mwenzako akinyolewa...hivi hawa wenzetu walitia maji tuliponyolewa kule Mamba, Same...

More than 100 people have been killed in a landslide in the mountainous eastern region of Bududa in Uganda, a minister has told the BBC. Minister for Disaster Preparedness Musa Ecweru has gone to the area to assess what help is needed.

Rescuers are digging through the mud with handheld tools, looking for survivors and bodies.

Chanzo: http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8545005.stm
 
Typical Miafrika.....
 
Nyani.. halafu tumesahau kuwa landslide kama hiyo imetokea Same miezi michache tu iliyopita na nina uhakika wa asilimia 100 tunaombea isitokee tena!
 
Typical Miafrika.....

Aisee bado hujajibu swali langu la lactification: Je, tukichanganya damu na wazungu kama walivyofanya Brazili basi tutabadilika na kutokuwa 'Typical Miafrika'?

P.S. Kabula kachanganya damu tayari?
 
Nyani.. halafu tumesahau kuwa landslide kama hiyo imetokea Same miezi michache tu iliyopita na nina uhakika wa asilimia 100 tunaombea isitokee tena!

Aisee kuna jamaa anafanya PhD ya haya majanga kule Oldonyo Lengai, inaonekana Wamasai wana utamaduni wa muda mrefu sana wa kukabiliana na jango la volkeno kule, nadhani inabidi muwasiliane akupe usuli wa utafiti wake!

Usipoziba ufa...
 
Nyani.. halafu tumesahau kuwa landslide kama hiyo imetokea Same miezi michache tu iliyopita na nina uhakika wa asilimia 100 tunaombea isitokee tena!

Haya maombi yetu nadhani yanaangukia kwenye deaf ears lakini hatujifunzi maana tumeanza kuomba siku nyingi sana.

Hivi siku moja likija kutokea li sunami kama lile la Sumatra si tutakuwa wiped out kabisa. Anyway ngoja niache kujichulia mwenyewe....
 
Aisee bado hujajibu swali langu la lactification: Je, tukichanganya damu na wazungu kama walivyofanya Brazili basi tutabadilika na kutokuwa 'Typical Miafrika'?

Ndio. Wewe huoni jinsi Brazil walivyotupita kimaendeleo? Halafu ukienda huko Brazil hasa kule kwenye jimbo la Bahia ambako Waafrika ndio wengi utaona kwamba wao kimaendeleo wako nyuma ukilinganisha na wale waliochanganya damu wajulikanao kama Pardo. Hawa Pardo wako wengi sana Brazil...nadhani ni asilimia 40 na kitu ya idadi nzima ya population yao. Pia kuna wazungu wengi sana huko Brazil. Sasa Brazil unaweza ukailinganisha kimaendeleo na nchi yoyote ya Kiafrika?

P.S. Kabula kachanganya damu tayari?

Ulikuwa hujui? Nipe email nikutumie picha yake umwone alivyo mzuri....ila usimwonyeshe mshikaji wako Zakumi. Ni pervert huyo....
 
Haya maombi yetu nadhani yanaangukia kwenye deaf ears lakini hatujifunzi maana tumeanza kuomba siku nyingi sana.

Hivi siku moja likija kutokea li sunami kama lile la Sumatra si tutakuwa wiped out kabisa. Anyway ngoja niache kujichulia mwenyewe....

halafu hako ka Ikulu kalivyokaa ukingoni mwa bahari na mtu mwenyewe anavyoogopa maji!!! ndipo watajua kwanini mwenzao Nyerere alifikiria kuhamishia makao makuu Dodoma!!! Labda tsunami itawafanya waharakishe..
 
Sisi wajukuu zako tumesahau kabisa tetemeko hilo ila babu yetu unakumbuka vizuri sana, hongera sana kwa ajili ya hilo
 
halafu hako ka Ikulu kalivyokaa ukingoni mwa bahari na mtu mwenyewe anavyoogopa maji!!! ndipo watajua kwanini mwenzao Nyerere alifikiria kuhamishia makao makuu Dodoma!!! Labda tsunami itawafanya waharakishe..

Wow!! unajua nini....juzi siku ile walipodhani sunami itaikumba Hawaii nikaanza kufikiria bongo na jinsi baadhi ya sehemu zetu nyeti zilivyo karibu na bahari....nikafikiria Ikulu, hospitali ya Ocean Road, makao makuu ya jeshi pale Upanga na yale ya JKT kule Msasani kama sikosei.....nikajisemea mwenyewe Mungu atuepushie mbali janga kama hilo....lol

Kweli Nyerere aliona mbali au yawezekana hakuwa anafikiria mambo ya sunami lakini hakika ni moja ya faida za kuhamia huko haraka iwezekanavyo
 
.nikajisemea mwenyewe Mungu atuepushie mbali janga kama hilo....lol

na wewe umeanza kuingia kwenye mtego? unajua naanza kufikiria kwanini walisema "dini ni opium of the masses".. no offense intended (if you smoke opium LOL)
 
na wewe umeanza kuingia kwenye mtego? unajua naanza kufikiria kwanini walisema "dini ni opium of the masses".. no offense intended (if you smoke opium LOL)

heck....unajua saa ingine uankuwa huna jinsi...ukiangalia unaona jinsi ambavyo hujajiandaa...unapiga picha kichwani mwako....unaona bonge la janga linataka kutokea lakini hujajiandaa kabisa endapo likitokea. So what do you do? get depressed? and if you get depressed and there is little that you can do what do you do? smoke weed? shoot some coke? chug some beer? or pray to whomever? you tell me....but I say do what you got to do to make urself feel better....
 
I have very bad feelings about this... sijui na mimi nijiunge kuombea isijekutokea:

Tarehe 8 mwezi wa 2 niliandika hivi kule kwa mwanakijiji: (ilikuwa kabla ya kifo cha Mwakawago na ajali ya juzi)

sijui ni kitu gani lakini wiki hii imeanza vibaya.. naona kuna wingu la vifo ajali nyingine kubwa ya vyombo vya usafiri au msiba mzito. Tumwombe Mungu atuponye na kutuokoa. Bado kuna kiza juu ya nchi yetu.
 
M.Kijiji Avatar zinanichanganya, mara umebeba jembe unaenda shambani, mara umeshika fimbo unachunga mbuzi, mara uko shamba la miwa unaparamiwa........what is next??
 
I have very bad feelings about this... sijui na mimi nijiunge kuombea isijekutokea:

Tarehe 8 mwezi wa 2 niliandika hivi kule kwa mwanakijiji: (ilikuwa kabla ya kifo cha Mwakawago na ajali ya juzi)

Mzee bila shaka unaanza kupata 'karama' ya utabiri. But don't be like Sheikh so and so! Tumuombe Mungu atuepushe na majanga ya aina yoyote ile.
 
Thanks Mwnakijiji,nadhani lengo lako ni kuwakumbusha viongozi wetu kuwa na mipango madhubutu ya kujiandaa kupambana na maafa wakati wote.
 
Back
Top Bottom