..unakumbuka SKUVI...?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,212
78,130
..hii ilikua uwezezeshaji kwa vijana kupatiwa mikopo..enzi hizo...na bw Regnald Mengi ndiye alikua msimamizi mkuu.(kumbukumbu zangu)
.
..je we kuna vijana wowote unawajua walioendelea kupitia mikopo ile...?
..natamani kuwajua maana wengi wetu tuliishia kudhulumiana tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom