Unakumbuka nini enzi hizo?

Hizi enzi zinanikumbusha ukumbi maarufu wa Lang'ata enzi hizo.
Tulikuwa tunakunywa sana Pilsner.
Ilikuwa raha sana enzi hizo.
 
naelewa mazoea,yana tabu,nakumbuka vikuku vinanukia ahaaaaaaaaaa*2yekeke mshua yekeyeke
 
Kwa mtu kama mimi wimbo huu unanipeleka mbali zaidi yenu wengi!
Kuna mambo ambayo niliyafanya kipindi hiki ambayo hadi dakika hii bado nasikia mwangwi wake!..Ilikuwa miaka ya 1988/89, kipindi hicho niko Dodoma.
Anyway, ndo maisha haya!
 
inanikumbusha mziki ulotimia kuanzia ;waimbaji,vyombo na rythim ya mziki wenyewe.
Kwani kwa sasa baadhi ya vyombo hawavitumii tena na hivyo utamu wake unapungua.
 
Back
Top Bottom