Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
Wadau Kwema Nin Unacho Kumbuka Katika Huu Mwez Wa 12
Mwezi Uliijaa Mambo Mengi Zaid
Kikistro Huu Mwez Una Mana Kubwa Sana
Mim Binafsi Nakumbuka Huu Mwez Ukisha Ingia Tareh Kama Izi Mzee Ameshatukatia Ticket Za Kwenda Mosh Mara Nyingi Ni Baada Ya Shule Kufungwa
Hapo Dar Express Itahusika
Ndugu Yangu Wew Una kumbuka Nin katika Mwez Huu