Mshindi ni sabuni bora kuliko zote,Mambo vipi wanajamii.
Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.
Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.
Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.
Kipindi Cha majira Cha asubuhi kinaanza au harakati saa 10:15 jioni radio Tanzania Dar esalaamMshindi sabuni mpya yenye nguvu yenye kutakasa kuliko zotee mshindi eeeeeee...
Mkuu pls shareKale ka beat huwezi amini ninacho na ndio ringtone ya simu yangu..kila nkipigiwa simu naona wazee wananiangalia na kale ka Majira ninacho pia
KK sukari nililisikia mwaka 2004 na sidhani kama niliwahi kuitumia. Nilikariri ni wimbo na sikuwa najua kama ni tangazo la sukari mpaka niliposoma hapa. Enzi hizo sijaanza chekecheaSafari ni safari Lile la Safari Lager
KK SUKARI NI SUKARI KIJIKO KIMOJA
COWBELL OUR MILK...
Lilifurahisha sana na hilo li chui sijui walilicrop namna gani tu!Wazee Mnakumbuka Matangazo ya zamani hasa ITV yalivyokuwa na mvuto!?
Mfano mimi nakumbuka Sana Tangazo la Bia ya TUSKER...
Utaipata popote marafiki zako walipo,
Utaipata popote uendako,
Iwe mbali au karibu,
Unapojihisi upo na Wenye kufahamika,
Pamoja na Marafiki zako wa kweliiiii
Bia moja tuuuu ya kweliiiiiii....
WEWE TANGAZO GANI LILIKUSISIMUA!??
"Hali halisi ya Tanzania,Ni fresh Ni poa NI YAKO!Tangazo la sigara ya SM wanaimba
" Vuta deeet menthol ni fresh ni poa ni yako" pamoja na tangazo la sabuni ya Revola iliyotumika sana na vijana kupigia nyeto