Unakumbuka mapenzi ya sekondari? ...kipindi hamna simu za mkononi?

valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,851
868
Wakati nkiwa sekondari simu za mkononi zilikuwa bado hazijaenea sana,ndo kwanza zilikuwa zinaingia nchini!Njia kuu ya kukutana na msichana wako ilikuwa kwa kuandikiana barua,au mnaambiana mkutane wapi.
Basi,nlikuwaga na msichana wangu wa form3 mtaani, Siku moja nkiwa likizo kitaa tukaaidiana tukutane,akanambia nimpitie kwao sababu baba na mama yake na mdogo wake watakuwa wamesafiri.
siku iyo nlikuwa naenda ku*** naye,si unajua.nkafika nkagonga geti....lahaulaaa!kumbe mzee wake aliairisha safari.na hakuweza kunambia mana kulikuwa hamna simu kama sasa ivi.nkamsalimia,mdingi akaniuliza unasemaje?nkapiga akili nkamwambia mama kanituma kuulizia kuku(alikuwa anafuga kuku wa kisasa).akasema zipo chache,kakutuma ngapi?alivosema chache,mi nkasema nkitaja nyingi atasema hana.nkasema anataka kuku 20.akasema anabahati kweli wapo 20net.nkamwambia ngoja nkwambie mama basi.akasema mamako hanaga shida mpelekee ataniletea hela.
Wadau.nlibebeshwa kuku 20,nkaziuza kwa bei ya hasara kwa wakaanga chips.
...unakumbuka kisa gani kilichokutokea katika mapenzi ya sekondari?
 
mh! Mie ni mtu mzima lakini nimecheka mbavu sina niki imagine kuku na harufu zake nawe ukasema potelea pote.je ulimsubiri umuoe? alikutesa san!
 
nakumbuka watu wakitaka kuwaandikia victimz wao walikuwa wanakuja kwangu kuchota maujuzi
 
hahahhahahahahah hii kali kuliko,mtu amshtue kanumba inaweza kuwa hit movie. lol
 
mh! Mie ni mtu mzima lakini nimecheka mbavu sina niki imagine kuku na harufu zake nawe ukasema potelea pote.je ulimsubiri umuoe? alikutesa san!

sina taarifa nae kabisa achilia kumuoa.the last thing i heard(2009) she was a secondary teacher somewhere.
 
Wakati nkiwa sekondari simu za mkononi zilikuwa bado hazijaenea sana,ndo kwanza zilikuwa zinaingia nchini!Njia kuu ya kukutana na msichana wako ilikuwa kwa kuandikiana barua,au mnaambiana mkutane wapi.
Basi,nlikuwaga na msichana wangu wa form3 mtaani, Siku moja nkiwa likizo kitaa tukaaidiana tukutane,akanambia nimpitie kwao sababu baba na mama yake na mdogo wake watakuwa wamesafiri.
siku iyo nlikuwa naenda ku*** naye,si unajua.nkafika nkagonga geti....lahaulaaa!kumbe mzee wake aliairisha safari.na hakuweza kunambia mana kulikuwa hamna simu kama sasa ivi.nkamsalimia,mdingi akaniuliza unasemaje?nkapiga akili nkamwambia mama kanituma kuulizia kuku(alikuwa anafuga kuku wa kisasa).akasema zipo chache,kakutuma ngapi?alivosema chache,mi nkasema nkitaja nyingi atasema hana.nkasema anataka kuku 20.akasema anabahati kweli wapo 20net.nkamwambia ngoja nkwambie mama basi.akasema mamako hanaga shida mpelekee ataniletea hela.
Wadau.nlibebeshwa kuku 20,nkaziuza kwa bei ya hasara kwa wakaanga chips.
...unakumbuka kisa gani kilichokutokea katika mapenzi ya sekondari?

hahahaaah! Umenikumbusha mbali,I used to be fun with jf in last day with threads of jf members,where are u babu aspirin,kaizer,1stlady,nyamayao? Nawakumbuka sana!
 
dah mkuu!

umenikumbusha kipindi nasoma! basi,kwanza nikiwa dalasa la nne(1983) kunarafiki yangu alimtongoza binti, wakaelewana akampa na pesa (505) basi bwana binti akaanza kuzingua jamaa akaandika barua ya vitisho kwa binti akisema "sofi kama hutaki kunipa ile yekudu(akimaanisha nyekundu) rudisha mia tano na tano yangu" halafu jamaa akaweka kwenye daltari la binti la hisabati! ticha wakati anasahihisha madaftari akaiona jamaa alikula njiti(viboko) mpaka akakojoa make ilikuwa msitarini jioni!
dah ila kwasasa jamaa alishaona na anamaisha poa na yule binti ni nesi!
 
hahahaaah! Umenikumbusha mbali,I used to be fun with jf in last day with threads of jf members,where are u babu aspirin,kaizer,1stlady,nyamayao? Nawakumbuka sana!

dah....hichi kinywaji ninachokunywa siku hizi bora nikiache..... mayai yananipita sana...
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom