Unakumbuka kitu gani kizuri mwaka 2016

karugila

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
1,275
684
Wakati tukielekea ukingoni wa mwaka 2016 je wewe unakumbuka kitu gani kizuri ambacho Mungu kakufanyia?.mimi nakumbuka kitu kizuri alichonifanyia ni kunipa mtoto wa Kike namshukuru kwa hilo.tuambie na wewe Mungu kakufanyia nini.
 
Back
Top Bottom