Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Hahah acha tu captain ila nimekua philosopher since then nimeshauri watu wengi sana kuhusu mahusiano, sheria yangu ni moja never commit to a girl below 23 especially students hawa evolution yao bado inaendelea kukengeuka asubuhi tu
Sure,uki date na wanafunz wa chuo ni pasua kichwa, ila sasa ndo vtamuu mkuu
 
Ila akianza kuomba mzigo inakuwaje napo? samehe mara 70 wewe
Una cheka hizi changamoto za maisha, Mimi mtu akitaka ni mu delete permanent aanze matusi hata aombe msamaha sirudi nyuma
 
Kiukweli wanaume wa hivi wanaboa, mwanaume unatakiwa uwe na misimamo ya kiume sio kupelekeshwa pelekeshwa
Huo msimamo determinant yake ni hela sikuhizi😅! Kama wewe ndio umeshikilia uchumi halafu ukawa mtu wa kukoroma koroma usitegemee miujiza. Mwanaume akikosa hela ni kama simba aliomwagiwa maji. Hata mie ikitokea niko hovyo mfukoni nakuwaga kama panya kalowa.
 
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage.

Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.

Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:

"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"

"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"

"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"

"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"

"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"
Aisee, asante sana kumpa kura jiwe!
 
" Aisse, mama pendo na mme wake ndio wanakula laifu, sisi wengine ni wasindikizaji tu " Hilo nilirushiwa na bidada kipindi ndio Kwanza tuna anza anza maisha...!!! sikumsemesha kwa pale, ila siku ya pili katoka kwenye mishe zake akakuta kitasa kipya, aliponipigia simu nikamwambia atizame kwenye simu nimemtumia hela ya nauli ya kwao, na mabegi nimeshayatanguliza na basi. Kisha nikabadilisha laini na kuhama mtaa kwa miezi minne. Nilipomrudisha na kumueleza kosa lake, alibaki anashangaa tu, ila ninaishi nae mpaka sasa, watoto 3, nikikohoa tu, anaruka, Na akitaka kuongea anaomba ruhusa, Kisha anaongea taratibu kwa kuchagua maneno... !!!!
Max Angeongeza option ya reaction,hii comment nimeipenda lakini nimecheka sana

nimeshindwa kujua niipe reaction gani kati ya kicheko na upendo maana inahtaji both reactions.
 
Upo sahihi kabisa.

Sema kuna scenario za mwanamke anataka kuonyesha yupo kwenye class fulani hivi hata matumizi/mahitaji yake ana-exaggerate kuwa huwezi kutoa.

Sasa time unamtimizia vyote anaongeza exaggeration unatambua kabisa hapa kweli hana huruma .

Kuna mmoja nimewahi kukutana nae huyo.
Yaan kuna wanawake wako fake kweli. Yaani lazima araise standard zaidi ili upate kukuna kichwa zaidi. Muache sasa ukutane nae mtaani
Hakuna kitu nakua makini nacho kama kauli. Sitaki kabisa lawama baadae tukishindwana. Kuna iphone 11 imetika beibz nataka as if she can manage
 
Halafu mkikutana na wastaarab mnawaita ma zoba...why? Ushazoea mpera mpera hahaaaa
Hapa nashindeaga paelewa
We always fall for bad boys. Yaan tunapenda hekaheka kupelekeshwa. Ila jaman mpole no. Ilimradi asiwe abusive kama kupiga na kadhalika. Mpole mwenyewe hapana naamini nitamwonea
 
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage.

Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.

Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:

"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"

"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"

"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"

"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"

"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"
"Similikiwi na Mwanamke mmoja!"

ila yuko siku hizi ananiambia u were an angel to me na mi nilikua mwendawazimu!
 
Back
Top Bottom