Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

Daah, aisee, kuna takataka iliniambiaga nimeamua tuu kuwa single kwa sasa hadi baadae so niachane nae and i had to promise her that i will be okey, after a month ananitafuta ananiambia eti ameamua arudi kwenye mahusiano anaomba nimsamehe turudiane, nilimtafutia wayahudi watano wamfire sema pesa ilipelea hawakuja, makalio yake huyu mbwa wa kiiraqw
Oooh nimekusoma ndio yule ulieenda nae babati akiwa anakunywa juicy huku anawaangalia watu wengine kama hawana maisha

Eti kama hawana maisha
Karma
 
Huwa napenda kufananisha uhusiano na business life cycle kama kitu ambacho huwa na stages tofauti. Introduction, growth, maturity and decline stage

Katika mahusiano kunakuwaga na point ikifika mahusiano huwa tena sio raha bali karaha tu na hapa ndipo hekima hutakiwa ku kick in. Hii ni kutokana na mmoja kuacha kuweka efforts to make it work au kupuuza hisia za mwenzie.

Hali hii huambatana na kauli za kukaraisha nafsi ambazo mmojawapo huzitoa just to make the situation worse. Lets share zile kauli zilizowahi kuchafua nafsi zetu! Nakumbuka hizi:

"We mbona hauko smart kama vijana wenzio"

"Una gubu sana we mwanaume hadi unaboa"

"Sa utapigia wanaume wenzio simu hadi lini?"

"Yani mwanaume umezubaa tu upo upo tu kama lizoba"

"Sasa kama mtu humuamini unakuwa nae wa nini..si umuache tu!"

“I don’t care about your feelings, mimi naangalia makubaliano yetu”
 
Baada ya miezi miwili ya mahusiano "Naona vyombo ulivyotumia vinanisubiri mm nivioshe"

Nikajidai sijasikia.

Wiki mbili baadae, "hizo nguo nje mpaka mm ndo nikaanue".

Nikaenda anua. Baada ya kunyanduana weekend nzima j3 alipotoka nikaita fundi akabadilisha vitasa vya mlango. Nguo zake zilizokuepo nikazitundika kwenye kamba nje then "nikasafiri" zaidi ya wiki nikabadili na namba ya simu.

Tulionana baada ya miaka miwili, ndo akaniambia tangu aanze kudate mahusiano yake hayajawahi dumu zaidi ya miezi sita. Nikamweleza madhaifu yake, akawa anabishabisha pale ila akaja kuelewa. Akanipa na 'zawadi' kwa kumfungua macho.
 
He he....apo kwenye swala la kuweka nguo zake kwenye kamba ulicheza kama gaucho
 
Back
Top Bottom