Unakumbuka haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakumbuka haya?

Discussion in 'Entertainment' started by Mzuzu, Nov 29, 2009.

 1. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2009
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Wazee ni weekend na Idd el haj kwa wakati mmoja si vibaya kama tutapata burudani na kumkumbuka nguli wa muziki wa kavasha mzee mzima Verkeys duh mie mwenzenu ananigusa sana na sichoki kumsikiliza na hizi record zake.

  Hebu sikiliza hii upate halafu utaona unachojisikia sijui ni moyoni au nafsini lakini lazima akuguse

  hii hapa mfueni

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=1bePe1Sckq4[/ame]

  Na hii Anifa

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=PeoTgwDerHI[/ame]

  Lukani pia jamani hii hapa

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=hZGLyk-wrsE[/ame]

  Na mwisho nasepelisa nzoto

  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=_GDQxdASiL4[/ame]


  Hebu pata hii burudani uona itakavyokukuna na kukumalizia J2 ya maudhi ukasahau siasa za JK na timu yake kiasi urefresh kwa ajili ya wiki inayoanza kesho!

  Mzuzu
   
 2. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2009
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Nakumbuka sana ile miaka baada ya vita vya Kagera na Amin kukimbia hizi ngoma zilishika mahala pake enzi hizo kwa waliokuwepo!
   
Loading...