Unakula nini leo, Karibu Mishkaki!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
60749_390430084361102_883997238_n.jpg


Nchi za Asia hapatupwi kitu kila kitu chakula karibuni jamani.............
 
hiyo nyama ya panya imenikumbusha simbilisi lol! ni watamu ile mbaya
 
Daaaahhh..bro hao panya umenikumbusha wakati nipo Ghana..wanaita FUFU...!!ni tamu balaaaaa!!
 
Kah...!? Eti watu wanafurahia na wengine kusifia....mh! Kweli tupo aina mbalimbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom