Unakubalina na hoja hii kuhusu saikolojia ya binadamu kwa kiwango gani?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,990
29,466
Hoja yenyewe ni ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

" The key to confidence is walking into a room and assuming that everyone likes you"
Niiweke kwa lugha nyepesi ambayo hata yule kilaza wa Bunda vijijini anaweza kuielewa ๐Ÿ‘‰" Msingi mkuu wa kuwa na confidence ni kuingia ndani ya chumba/ office/darasa etc ( whichever come first in your mind ) huku ukiwa una assume kwamba kila mtu aliemo ndani ya space hiyo ana kukubali"

Mifano yake ni kama vile:๐Ÿ‘‡
1. Msanii wa muziki panda jukwaani huku ukiwa una assume kwamba watu wote waliopo kwenye hiyo show wanakupenda na wanakukubali.

2. Interact na watu mtaani kwako huku ukiwa una assume kwamba wana kukubali sana and no ones hate you. ( ila usisahau kuchukua tahadhari )

Faida ya kuamini katika filosofi hii ni kwamba utafanya vitu vyako kwa ufanisi mkubwa sana.

Kuamini kinyume chake kutokufanya ufanye vitu vyako chini ya kiwango.

Assume unaenda kuchezea timu kama Simba au Yanga ukiwa una assume kwamba mashabiki hawakupendi wanakuchukia hawakukubali. U will never perform.

Filosofi hii wanatumia sana wachungaji wa kilokole kwenye mahubiri pamoja na mashekhe kwenye mihadhara (wanaitumia bila kujua kama wanaitumia)

Mfano Mchungaji anahubiri huku akiwa ana assume kwamba watu wote wanakubali kwamba Yesu ni Mungu na kwamba ili uende mbinguni ni lazima uokoke.

Utamsikia mchungaji anasema " Mungu angewapa binadamu kujua siku yao ya kufa hata Mimi nisinge okoka. Umeshajua utaishi miaka 79 basi utakula bata kwa muda wa miaka 78 na Miezi kumi na moja ukifika mwezi wa kumi na mbili ambao ndio unafunga miaka 79 ndio unaokoka"
Yani wana pretend as if hakuna watu ambao imani yao inafundisha kwamba kuamini katika uungu wa Yesu ni tiketi ya moja kwa moja kwenda Jehanamu.

Mashekhe nao kwenye mahubiri yao wana towa mawaidha yao huku wakiwa wana assume kwamba njia pekee ya kukupeleka mbinguni ni uislamu. Wana pretend as if hakuna watu ambao kwa mujibu wa imani yao , kutokuamini katika uungu wa Yesu kutakupeleka motoni.

Utamsikia Shekhe anasema " Sisi tunawapenda sana ndugu zetu wakristu ndio maana tunataka msilimu ili nanyinyi muingie peponi. Tungekuwa hatuwapendi tungewaachaniza hivyo hivyo lakini kwakuwa hatutaki muende jehanamu ndio maana tunataka msilimu"
 
Kwa maneno mengine ni kusema '' tuwe na mitazamo chanya kwa kila kitu, hakika ipo nguvu kubwa katika positive thinking๐Ÿ™
 
Hapo ni ku assume na ku assume ndio meditation yenyewe

Ukiasume unakula nyama choma utatokwa na udenda

Ukiassume unafanya mapenzi na lihana utapiga bao kweli

Ukiassume kila mtu hakupendi utapata vidonda vya tumbo na kisukari

Ko it is up to you how you assume na ndio ku meditate kwenyewe sio lazima uingie kwenye temple
 
100% correct
 
Back
Top Bottom