Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu wanawake kuolewa halafu Wanaambiw waache kazi na waume zao. Yaani mfano mwanamke ni mwalimu akishaolewa anaambiwa acha kazi ukae nyumbani nitakuhudumia kwa kila kitu, na yeye anakubali kuacha kazi.

Hivi kweli mtu umesoma na wakati mwingine kazi hiyo kuipata nguvu imetumika, halafu unakubali kirahisi rahisi tu kuacha kazi ili ukae nyumbani ulee watoto, mwisho wa siku ukikubali kuacha kazi unapewa huduma kwa muda mambo yanabadilika mnaanza kulia lia, huu ni ujinga usio na mfano.

Lakini pia na nyie wanaume huwa mnafikria nini kumuachisha mkeo kazi ili akae nyumbani? Huku ni kutokujiamini, uoga na wivu kijinga, kwanza mwanamke akifanya kazi anakuwa na uwezo wa kujihudumia na kukupunguzia mzigo, Vilevile ni rahisi kuepuka vishwawishi tofauti na wale waliokaa tu bila kazi. Lakini pia hakuna aijuaye kesho yake, mwanamke akiwa na kazi ni rahisi kuhudumia familia pindi Mungu akikuchukua tofauti na yule ambae hana kazi.
 
Rudi kasome umeambiwa wakifanya kazi eote ndio shida zitaishs

Umeandika vizuri. Naomba kama hutojali utushirikishe uzoevu wako baada ya ndoa yenu. Je mulishughulikia vipi hii changamoto.

Ahsante
 
Mimi binafsi nitakubali kuacha kama atakubali na atakuwa na uwezo wa kunipa hela za kutuma kwa wazazi wangu na wadogo zangu kama ninavyofanya sasa. Bila kusahau kulipa ada za shule za wadogo zangu na hela zao za matumizi. Ambazo zote hizo nafanya Mimi mwenyewe kwa kutegemea kazi.
Pia baada ya hapo anitunze na Mimi aninunulie mahitaji yotee. Tofauti na hapo aniache nipambane na hali yangu. Wazazi wangu hawakunisomesha ili vyeti niweke kabatini huku nao wanateseka shida na uzee.
 
Fact
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu wanawake kuolewa halafu Wanaambiw waache kazi na waume zao. Yaani mfano mwanamke ni mwalimu akishaolewa anaambiwa acha kazi ukae nyumbani nitakuhudumia kwa kila kitu, na yeye anakubali kuacha kazi.

Hivi kweli mtu umesoma na wakati mwingine kazi hiyo kuipata nguvu imetumika, halafu unakubali kirahisi rahisi tu kuacha kazi ili ukae nyumbani ulee watoto, mwisho wa siku ukikubali kuacha kazi unapewa huduma kwa muda mambo yanabadilika mnaanza kulia lia, huu ni ujinga usio na mfano.

Lakini pia na nyie wanaume huwa mnafikria nini kumuachisha mkeo kazi ili akae nyumbani? Huku ni kutokujiamini, uoga na wivu kijinga, kwanza mwanamke akifanya kazi anakuwa na uwezo wa kujihudumia na kukupunguzia mzigo, Vilevile ni rahisi kuepuka vishwawishi tofauti na wale waliokaa tu bila kazi. Lakini pia hakuna aijuaye kesho yake, mwanamke akiwa na kazi ni rahisi kuhudumia familia pindi Mungu akikuchukua tofauti na yule ambae hana kazi.
Mtoa mada ni KE au ME?.
 
Acha kutudanganya bwana wee.....eti mwanamke akiwa na kazi anakupunguzi mzigo...nyooo....mwanamke ata alipwe billion bado atataka mwanaume alipe bill zote ndani ga nyumba.
Walau atajinunulia chupi na lotion
We ndo ulipe bill

Au utanunua kiiila kitu?.
 
Piga magoti chini mushukuru Mungu kwa kukupa huyo uliyenae anayejua kwamba kuna kusaidia maisha ndani ya ndoa!

Hayajakukuta mkuu,

Sio kila mwanaume anapenda kumuona mkewe yuko nyumbani bila kazi!!

Narudia tena piga magoti chini muendelee hivo hivo!
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu wanawake kuolewa halafu Wanaambiw waache kazi na waume zao. Yaani mfano mwanamke ni mwalimu akishaolewa anaambiwa acha kazi ukae nyumbani nitakuhudumia kwa kila kitu, na yeye anakubali kuacha kazi.

Hivi kweli mtu umesoma na wakati mwingine kazi hiyo kuipata nguvu imetumika, halafu unakubali kirahisi rahisi tu kuacha kazi ili ukae nyumbani ulee watoto, mwisho wa siku ukikubali kuacha kazi unapewa huduma kwa muda mambo yanabadilika mnaanza kulia lia, huu ni ujinga usio na mfano.

Lakini pia na nyie wanaume huwa mnafikria nini kumuachisha mkeo kazi ili akae nyumbani? Huku ni kutokujiamini, uoga na wivu kijinga, kwanza mwanamke akifanya kazi anakuwa na uwezo wa kujihudumia na kukupunguzia mzigo, Vilevile ni rahisi kuepuka vishwawishi tofauti na wale waliokaa tu bila kazi. Lakini pia hakuna aijuaye kesho yake, mwanamke akiwa na kazi ni rahisi kuhudumia familia pindi Mungu akikuchukua tofauti na yule ambae hana kazi.
Hivi ni kwanini kuna watu huwa mnawaza kufa kufa tu? kwanini watu mnakuwa mapessimist kiasi hiki?

BTW, your whole epistle makes no sense to me.
 
Back
Top Bottom