Unakubaliana na jinsi Rais Kikwete na Chama tawala CCM, wanavyoongoza Taifa letu la Tanzania?

We acha ukuda hivi mtu anaweza kuja na kukupigia na kukuulia mkeo na mama yako alafu eti utoe maoni aliwauwa kwa ustaraabu au kinyama?kama we mwehu kubali upuuzi unaoendelea serikalini
 


Miongoni mwa majibu mengi sana yaliyopokelewa kutoka kwenu wadau ni kama ifuatavyo

1. Unakubaliana na jinsi Rais Kikwete na Chama tawala CCM, wanavyoongoza Taifa letu la Tanzania?

Sikubaliani nao kabisa


2. Ungependa kuona CCM ikishinda tena Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 na kuendelea kushika dola?

Hapana


3. Mgombea yupi kati ya hawa ungependa kumpa kura yako ya Urais mwaka 2015?

Dr. Wilbroad Slaa


4. Nini ungependa kifanyike kuboresha hali ya maisha ya mwanachi wa kawaida?

Vyote kwa pamoja


Kudadavua kwa undani bofya hapa
 
Matokeo yanasemaje?
Wangapi wamesema nini na wangapi hawajasema nini?
Siyo uje na Overall results bila Tahmini ya kueleweka ya kura zilizopigwa.
 
Nakubaliana nao kwa asilimia 100000000000000000 kama zipo. CCM Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. CDM hawana manpower ya kuongoza hata mkoa mmoja. Hakuna anayefaa hata kuwa mkuu wa wilaya pale CDM. Upinzani maana yake ni kuwashambulia wanaoongza nchi. Ni tofauti na kuongoza. Nna uhakika kuwa siku ambayo CDM wakapata uongozi wa nchi hii (kitu kisichowezekana) hakika watagoma wenyewe kuchukua madaraka au kukimbia uongozi wa dola. Safu ya CDM ni watu wanaotafuta magari mazuri na nyumba nzuri. viongozi wao ni watu walioukuwa masikini kabisa (zitto, mnyika, mdee) ila leo ni matajiri wakubwa. CDM ni NGO
 
Matokeo yanasemaje?
Wangapi wamesema nini na wangapi hawajasema nini?
Siyo uje na Overall results bila Tahmini ya kueleweka ya kura zilizopigwa.

wote wamemkataa JK kasoro Ritz, zomba na rejao.

HATARI:
Weka mbali na Tembo.

 
Back
Top Bottom