Unakosoa Safari za Rais ukiwa kama nani?Mnalinda legacy ili iweje?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu

Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa

Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri madhali ni ziara za kikazi,

Upuuzi ni pale mtu na akili zake unapopinga safari za rais Samia

Japo sikubaliani na mama kuhusu mambo mengi hili la kupinga safari Big No, mwacheni asafiri tena huko atajifunza na kuelewa umuhimu wa demokrasia tu

Kipindi cha mwendazake mlipinga sana alivyokua kajifungia na hasafiri nyie nyie mlokua mnalalamika mwendazake kwanini hasafiri mkimtaka asafiri ndo nyie nyie mnaolalamika kuhusu samia kusafiri

Totoleeni unafiki wenu hapa,Mnatuletea mambo ya mwendazake ya kujifungia na kutosafiri?Kwahiyo mnataka mama afuate nyayo za yule jamaa?Big No hakuna kufuata legacy za hovyo hovyo hapa

Mama na mwendazake sio kitu kimoja na haitokaa itokee Unguja na Chato iwe kitu kimoja?Big No....

Sipendagi ujinga mimi mwacheni mama asafiri, msituletee legacy za ajabu ajabu hapa
 
Hata mimi nawashangaa,,yaani inatakiwa Rais akae nje ya nchi siku 200 hadi 250 kati ya siku 360 za mwaka nje ya nchi.Hii itasaidia sana kutupa exposure.Mambo ya fedha ,,si shida kwani jiwe alipojifungia nakuacha kula bata ..matokeo yakw amefariki akiiacha familia ikiwa masikini tu.Mama samai kula Raha na sisi wasidizi wako tunakula bata
 
Watu watuache tule maisha bwana,,Jiwe alipambania usawa matokeo yake alijifia ametuachia mafedha mengi..ngoja tuenjoy.
 
Watu watuache tule maisha bwana,,Jiwe alipambania usawa matokeo yake alijifia ametuachia mafedha mengi..ngoja tuenjoy.
Duuuh...! Familia yake bado iko hai embu muwe mnatumia upeo wakati mwingine ili kuweka mizani sawa kihekima maana hata akina Michael Jackson walikula bata zaidi yako wewe ila hadi sasa wamebiki kuwa historia tu.
 
Walisema mwendazake haui English ndiyo maana hasafiri. Leo Samia anasafiri wanasema anachezea rasilimali
 
Unamambo ya ajabu sana,unapayuka payuka tu,asafiri asisafiri kuna faida ngani kwetu,anasafiri kwa niamba ya yeye na family zake si kwa manufaa yetu sote

Kwa nini utushilikishi sisi? pambania maisha,kama hizo safari unafaidika nazo basi si kesi,hongera kwako!
 
Unamambo ya ajabu sana,unapayuka payuka tu,asafiri asisafiri kuna faida ngani kwetu,anasafiri kwa niamba ya yeye na family zake si kwa manufaa yetu sote

Kwa nini utushilikishi sisi? pambania maisha,kama hizo safari unafaidika nazo basi si kesi,hongera kwako!
Wewe ni jiwe follower mate kama yote kwenye screen ya simu yako!!! Pole sana !!! Jamaa yako hakusafiri lugha ilikua mtihani
 
Si kitu hata! Me nipo kivyangu kabisa, utawala wa jiwe sikufaidika na chochote kile,sionagi hata umuhimu wa rais maana maisha yangu ni mimi mwenyewe nayaendesha bila msaada wa mtu
mambo nayaendesha hivi tangu nilipoachana na wazazi wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom