Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,323
- 40,172
Wengi huwa tunasoma fani rahisi rahisi ambazo hazituachii ujuzi ambao ni technical, ambao utatusaidia kufanya kitu fulani kinachoonekana.
Mfano, kijana amehitimu mafunzo yake ya chuo, na ukimuuliza unaweza kufanya kitu gani unique, anakuwa hawezi kujibu, kwa sababu fani aliyosomea ni ya kawaida, ambayo ata mwanafunzi wa darasa la saba anaweza kuelekezwa siku 7, na akafanya vizuri tu.
Wengine wamesoma masomo technical, lakini katika utendaji hakuna kitu anachoweza kufanya. Mfano, mwingine atakuambia ni mtaalamu wa IT, ila kiutendaji anajua namna ya kuunganisha waya za kompyuta tu.
Kwa mazingira hayo, tunakosa ajira kwa sababu fani zetu ni irrelevant