Unakikumbuka hiki kibwagizo???

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Mganga wa tausi ni KA... Kalumanzila La.... Lala salama Ma.... Mama mzazi Zi.... Zizi la ng'ombe Mbe.... Mbele ya nyumba Mba.... Mbali na wewe We...............

Du nimesahau muendekezo....... malizia!!!!
 
mie naifahamu hii hapa....
Wanaume wanapenda kum'a... kum'a... kumaliza shule
Wanawake wanapenda mbo... mbo... mboga za majani
 
Wembe wa kucha,,,cha,
chakula kitamu,,,mu
Mungu mkubwa ...bwa

......bwawa la samaki...... KI...... King Majuto....... TO.......... toto la paka.......... KA.......... kaka na babu........... BU.............. bubu hasemi ..........MI.......... mimi na wewe......... WE.......... wembe wa kucha......... CHA......... chakul................
 
teh teh.... my wii mbona umerudi kule kule?? kinatakiwa kuisha
 
Umebugi meeen Madame B..... hapo kwenye King Majuto To.... Tone la maji Ji.....

oh nimeasahau tena!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka....
Ji... Jitu la kale Le.... Lenye madevu Vu.... Vumbua dhahabu Bu.... Bubu hasemi Mi....

Dah mbona narudi kule kule ??????
 
......bwawa la samaki...... KI...... King Majuto....... TO.......... toto la paka.......... KA.......... kaka na babu........... BU.............. bubu hasemi ..........MI.......... mimi na wewe......... WE.......... wembe wa kucha......... CHA......... chakul................

mimi mdogo,,,go
gogo la mti....ti
tina na mjuba...ba.
Baba wa kambo...mbo
mbona wanitesa...sa
sasa naondoka...ka.
Kaa peke yako...ko
koma kunipiga...ga
 
mimi mdogo,,,go
gogo la mti....ti
tina na mjuba...ba.
Baba wa kambo...mbo
mbona wanitesa...sa
sasa naondoka...ka.
Kaa peke yako...ko
koma kunipiga...ga

Ok... nilikuwa nshasahau... Duh una kumbukumbu lol!!!! Btw how r u my shem??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom