Unakaribishwa Miaka 50 ya Peace Corps Washington DC: Mgeni Rasmi Kikwete

Hii itakuwa safari ya 318 nje ya nchi, kwa wastani wa siku tatu kila safari, ni sawa na siku 954 tangu awe rais. hii itakuwa na sawa na miaka mitatu nje ya nchi!!!!!!
 
Hii itakuwa safari ya 318 nje ya nchi, kwa wastani wa siku tatu kila safari, ni sawa na siku 954 tangu awe rais. hii itakuwa na sawa na miaka mitatu nje ya nchi!!!!!!

Acha utani mkuu, sasa sofa la Ikulu si litakuwa bado jipya sana kuliko maelezo? Hii si itasaadia kuepusha gharama za kununua sofa ya raisi ajaye.
 
Mhh..sasa wataongea nin na bush, wakati ye sio rais tena?? Au kuna kitu alisahau kwenye ile ziara yake ya siku 4.!
<br />
<br />
KAENDA KUHOJI KWANIN ALIYEKUWA BALOZ WA PANDE HIZO HAPA KWETU AMEMCHONGEA KWETU KUHUSU ZILE SUTI!!!!
 
  • Thanks
Reactions: ral
The Peace Corps traces its roots and mission to 1960, when then Senator John F. Kennedy*challenged students at the University of Michigan*to serve their country in the cause of peace by living and working in developing countries. From that inspiration grew an agency of the federal government devoted to world peace and friendship.
Since that time, 200,000+ Peace Corps Volunteers have served in 139 host countries to work on issues ranging from AIDS education to information technology and environmental preservation.
Today's Peace Corps is more vital than ever, working in emerging and essential areas such as information technology and business development, and contributing to the President's Emergency Plan for AIDS Relief. Peace Corps Volunteers continue to help countless individuals who want to build a better life for themselves, their children, and their communities.
There's quite a bit to learn about the Peace Corps—explore the following sections to get to know its mission, history, and current endeavors in depth.

My Take:-
Ni heshima kubwa kwa Taifa letu changa na Rais wetu kuheshimiwa na kupewa fursa hii.

Mkuu umesema ni heshima kubwa kwa mkulu kuwa pale ina maana mambo haya yatapatiwa ufumbuzi kwa yeye kuwepo huko ?
Umeme , maji safi,vibaka kuongezeka ,wamama kujigungua njiani wakiwa wanatafuta zahanati,kuwabeba wanyama wetu kwemda Arabuni,kufisadi Nchi,posho kufutwa,Rushwa kupigwa marufuku,gharama za maisha kushuka, usawa mbele ya sheria ,matumizi mabaya ya pesa na madaraka nk nk nk nk ?
 
hahahahaa!!
Hivi mnawajua Peace Corps au??
Wee MAKAH, read my signature!!!

"Baniani Mbaya kiatu chake dawa". Hope every one will be there at the 2011 US of A, including esteemed Bigirita!!!!!.......lol
 
The Peace Corps traces its roots and mission to 1960, when then Senator John F. Kennedy*challenged students at the University of Michigan*to serve their country in the cause of peace by living and working in developing countries. From that inspiration grew an agency of the federal government devoted to world peace and friendship.
Since that time, 200,000+ Peace Corps Volunteers have served in 139 host countries to work on issues ranging from AIDS education to information technology and environmental preservation.
Today's Peace Corps is more vital than ever, working in emerging and essential areas such as information technology and business development, and contributing to the President's Emergency Plan for AIDS Relief. Peace Corps Volunteers continue to help countless individuals who want to build a better life for themselves, their children, and their communities.
There's quite a bit to learn about the Peace Corps—explore the following sections to get to know its mission, history, and current endeavors in depth.

My Take:-
Ni heshima kubwa kwa Taifa letu changa na Rais wetu kuheshimiwa na kupewa fursa hii.

Sio heshima ni dharau!
Hutosikia kiongozi yoyote high profile kama Sarkhozy ama Cameroon akialikwa upuuzi huo. What's next? Utasikia trip nyingine amealikwa kwenye sherehe za ufunguzi wa Verizon Wireless store pale Silversprings!!
 
Heshima mbele sana Mkuu wangu Jasusi.

Mkuu hivi chuki zako binafsi kwa mkuu zitaisha lini? Hapa kiongozi anatekeleza kazi zake kama kiongozi wa inchi, tumwache kiongozi afanye kazi yake.

Mkuu nakushauri 2015 urudi Tanzania ukachukue form na wewe ugombee urais, umri unazidi kusogea.

Hatukujua kuwa anachaguliwa ili afanye kazi ya kupaa angani kila kukicha!
 
Just visited their site: "http://www.peacecorps.gov/index.cfm?shell=about.fiftieth.events" Peace Corps 50th Anniversary Events | 50th Anniversary Events | 50th Anniversary | About Us | Peace Corps

50/50, Tanzania's 50 years of independence & Peace Corps' 50th anniversary! Mkuu kamechisha, ni 50 years kotekote!
 
Wanaharakati wote wanaoitakia Tanzania mema, Ratiba ya maandamano yetu bado yapo pale pale. tumebaini pia kwamba, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete Atakuwepo Washington DC katika maadhimisho ya miaka 50 ya Piece Corps. Tunafanya taratibu za kumfuata huko nako. Kaeni mkao wa kula, tutawataarifuni namna ya kukabiliana naye, hata tukiwa na wawakilishi 10, ni bora, kwani uwezo wao kufikisha ujumbe wetu utakuwa mkubwa sana. Tayari makamanda 12 wanajitolea kuandamana...Tupo kwenye hatua ya hawali na hapo kesho tutawapeni mpango kamili.....ila DICOTA bado pale pale Ratiba yake ni tarehe 13/9/2011
 
Hakuna kulala, ni lazima amulikwe kila mahali atakapokuwa huko ughaibuni. Ni lazima apashwe kuwa maisho kwa watz yako wapi?. Yeye kila wakti yupo nje ya nchi wakati nchi ipo gizani. maisha ya watz yanazidi kupanda kila kukicha ni afadhali ya jana, lkn yy hana habari kabisa. Kila la heri makamanda mzidi kutujuza atakapokuwa huko
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap
 
Back
Top Bottom