Unakaaje hapa duniani zaidi ya miaka 80 huna hata nyumba ya kwaachai watoto,serikali iingilie kati

Mtu mpaka anazeeka anawatoto 7 wamepanga

a
Watoto wanakuja kuwa vibaka kisa kukosa mwelekeo

wahindi ndio wana akili. wanaishi nyumba za kupanga maisha yao yote. mimi ninaishi nyumba niliyojenga mwenyewe. Watoto wanatakiwa wakajenge au wapangishe. Watu wa mataifa yaliyendelea zaidi ya robotatu wanaishi ktk nyumba za kupanga. Tofauti wote wazee kwa vijana wanalipwa pesa kima cha chini kuweza kulipia pango na kupata chakula pamoja na matibabu. Wana BIMA.Kuna wakati itafikia hayo hayo na huku
 
Mzee miaka 80 wanawe hapo watakuwa na umri kati ya miaka 40 na 50 kwa hiyo hao bado wanamtegemea baba yao? serikali iwatandike viboko au?
 
Kuna wazazi wengine kauzu anajenga anatafuna Mali zote pale alipostaafu mpaka anabaki na nguo moja tu akianza kuugua ndo anakuja mjini mumuuguze mpaka anakufa hamjui pakumzikia.
 
Habari wakuu

Mimi binafsi linanikela sana hili swala ,mwanaume unazaa watoto zaidi ya watano ,nyumba huna,biashara huna,kazi huna ,kilimo cha mkono huku ukijipa moyo huenda mtoto atakuwa jakaya,au Mandela ,au Obama,ujinga mtupu

Kuwalisha tuu ni shida achana na mavazi ,huduma za mhimu tu ni tabu ,shulen kuwapeleka ni mpaka serikal iingilie kati.

Aisee kama huna uwezo wa kulea ,ni bora tu ukaishi kisela hapa duniani ,sio lazima kuzaa ,ishi kivyako kufa kivyako kuliko kuzalisha watoto ili uwatese na kuiona dunia chungu

Kama wewe ulipata tabu hapa dunian hakuna ulazima wa kuleta viumbe hapa dunian kuwatesa

Mh raisi angalia hili swala ,kama MTU hayupo vizur kiuchumu ni marufuku kuoa ,hana sifa za kuwa na familia,akileta za kuleta weka ndani ni ujinga Mtupu kuendelea kuzalisha watoto ambao wanajuta kuzaliwa hapa dunian .

Uzi tayari
Mm napendekeza serikali iweke lazima ya kila MTU mzima ajenge nyumba Tofali afyatue mwenyewe akishindwa hatua Kali zichukuliwe
 
Trump akiwa na miak 58 alirithi milioni 400+ kutoka kwa baba yake
Chukulia huyo mzee ana miaka themini alioa na kuzaa akiwa na miaka 30 kwa hiyo sasa akiwa na miaka 80 mwanawe atakuwa na miaka 50 .Kwa hiyo huyo mzee amwachie mali mwanae wa miaka 50? hilo si ni jitu zima hilo ? mleta mada akili huna
 
Habari wakuu

Mimi binafsi linanikela sana hili swala ,mwanaume unazaa watoto zaidi ya watano ,nyumba huna,biashara huna,kazi huna ,kilimo cha mkono huku ukijipa moyo huenda mtoto atakuwa jakaya,au Mandela ,au Obama,ujinga mtupu

Kuwalisha tuu ni shida achana na mavazi ,huduma za mhimu tu ni tabu ,shulen kuwapeleka ni mpaka serikal iingilie kati.

Aisee kama huna uwezo wa kulea ,ni bora tu ukaishi kisela hapa duniani ,sio lazima kuzaa ,ishi kivyako kufa kivyako kuliko kuzalisha watoto ili uwatese na kuiona dunia chungu

Kama wewe ulipata tabu hapa dunian hakuna ulazima wa kuleta viumbe hapa dunian kuwatesa

Mh raisi angalia hili swala ,kama MTU hayupo vizur kiuchumu ni marufuku kuoa ,hana sifa za kuwa na familia,akileta za kuleta weka ndani ni ujinga Mtupu kuendelea kuzalisha watoto ambao wanajuta kuzaliwa hapa dunian .

Uzi tayari
Kama nimesomesha niwaachie nyumba ili iweje, wakatafute wenyewe nikiwatafutia mimi wao maishani mwao watafanya nini? Kuwaachia nitawaachia lakini siyo lazima.
 
Jela gani itaweza ku accommodate 4/8 ya wanaume wa Kitanzania?
Hilo uliloliongea ni zito ilhali umelisemea kiutotoutoto.
 
Acheni visingizio, zaeni muongezeke... na mkaijaze nchi.

Asema Bwana Mungu wa Majeshi.
 
Kumbuka kuna watu wana pesa mpaka hawajui wafanyie nini lakini wamesaka mtoto bila mafanikio, watoto ni baraka
 
Huyo Magu mwenyewe anaweza kukupiga makofi sababu nchi ni watu na watu ni jeshi 😝
 
Yaani baba ako ana miaka 80 na unataka akuachie nyumba? Kwanini usijenge yako??
Kwani yeye baba ake alimuachia nyumba.?

Ukizaliwa unajitaji kupewa basic needs kama chakula ,mavazi na malazi + elimu.. mengine utajitafutia mwenyewe kulingana na uhitaji wako.
 
Kabla sijawahi kulea mtoto nilikua nachukulia poa ila kwa sasa sipendi kuona mtoto anateseka hata kama sio wakwangu nipo tayari kuingilia kati kumsadia mtoto anayeteseka bila hatia yeyote. Pia na shangaa wanaotupa watoto au kuwa telekeza vijijini walelewe na ndugu kisa ugumu wa maisha sitajaribu huo ukatili katika maisha yangu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom