jaribu kuwa na adabuSwali: Unajuaje wazazi wa Yesu walikuwa wachaga? Jibu: "Siku zile ikatoka amri toka kwa Kaisari Augusti, kwamba watu wote wakajiandikishe makwao, na Yosefu na Maria wakatoka ili wakaandikishwe na watu wa kwao".
Swali: Unajuaje wazazi wa Yesu walikuwa wachaga? Jibu: "Siku zile ikatoka amri toka kwa Kaisari Augusti, kwamba watu wote wakajiandikishe makwao, na Yosefu na Maria wakatoka ili wakaandikishwe na watu wa kwao".
sawa tumekusikia,na wazazi wa muhamadi walikuwa kabila gani? Wakwere ?
We show our love to God by honoring and obeying Him. We should respect and worship Him to the greatest of our abilities. One of the most important ways to respect God is found in the Third Commandment. The Third Commandment concerns the sanctity of Gods name. We are commanded by God to honor and respect His name: "You shall not take the name of the Lord your God in vain; for the Lord will not hold him guiltless who takes His name in vain" (Exodus 20:7). "Vain" means empty, useless, false, unreal, and worthless. In short, taking Gods name in vain refers to the abuse, misuse, blasphemy, cursing, or manipulation of the Lords name.
hata kwa ngumi sichangii
hata kwa ngumi sichangii
swali: Unajuaje wazazi wa yesu walikuwa wachaga? Jibu: "siku zile ikatoka amri toka kwa kaisari augusti, kwamba watu wote wakajiandikishe makwao, na yosefu na maria wakatoka ili wakaandikishwe na watu wa kwao".
sawa tumekusikia,na wazazi wa muhamadi walikuwa kabila gani? Wakwere ?
crap
crap
Sawa tumekusikia,na wazazi wa Muhamadi walikuwa kabila gani? Wakwere ?
Yesu na Maria? Umefikiria nini ati!
Haya na wewe unayesema crap nikuulize tu,unaona raha sana hakimu wa ulimwengu anavyotolewa mifano ya kijinga namna hii,hivi kitabu chako unachoamini kinakufundisha kuwa ni nani atakayekuja kuhukumu wazima na wafu,ukinijibu swali hili kwa usahihi naweza kuendelea kujadiliana nawe lakini ukishindwa basi wewe ndio utakuwa crap na wala sio mawazo yako.
mfumwa mrungu