Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajuaje kama msichana ana mtoto au ameshawahi kuwa na mtoto...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kalou, Sep 16, 2012.

 1. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,364
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja,alikuwa na miaka 20,alikuwa mnene kidogo,..tatizo lilikuwa yaani kwa uzoefu wangu wa kipindi hicho na mpaka sasa siwezi kujua kwa uhakika kama yule msichana alikuwa na mtoto ama hakuwa naye,..wadau naomba mnipe uzoefu wenu kwenye hili especialy kama vigezo vyangu vya matiti na tumbo la huyo mwanamke vilifeli kabisa kunipa ukweli.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Jifunze kwanza kumtambua mwanamke anyekupenda na mwenye vigezo vya msingi kuwa mpenzi wako............Mengine utamuuliza tu
   
Loading...