Unajuaje anaumia

Mwanamke akimwacha mwanaume, baadaye akajua amepata binti mkali(mzuri) zaidi yake anaumia .
Hiyo ipo hata kwako wewe mleta uzi,yaani ukinikimbia halafu nikaokota demu pale kona baa na huyo demu akawa anaishi na mimi,basi nyie wanawake mlivyo na akili za wehu,utajikuta unamchukia huyo demu kiasi uko tayari kumuua.
 
Hiyo kawaida sana kinachoumiza ni kama jamaa amechange kimaisha na kipato kimeongezeka then wewe upo na man ambaye kipato chake hakimfikii x then hata life lake n normal tu so ukipata taarifa kwa mtu aliekua akifahamu uhusiano wenu akikwambia kumuhusu jamaa dah karoho kanaumaga kimtindo japo si sana.,maana unakuta mtoa taarifa anakuja na mbwembwe nyingi hatari yan.
 
Kuumia ni pie, sex baina yenu husababisha mwanamke kurelease endorphin ambayo ni happy feeling/relaxing hormone na kiwango cha furaha kitategemea na jinsi mlivyoshibana. Inapotokea umemuacha mwanamke mliopendana mno basi nae huwa katika stress kali mno zinazoshabihiana tu na kiwango cha furaha sana ambacho alikuwa anapata kipindi mpo pamoja na mnafanya sex!
Hivyo akiwaza tu ile furaha aliokuwa akiipata kipindi mpo wote kwamba imehamia kwa mwanamke mwengine huwa anapata wazimu na anaumia kwa alosto ya endorphin.Hapa wengi hujifariji kwa kujifanya hawajali katika nuru while wanalia sana wakiwa gizani.
 
Mwanamke akimwacha mwanaume, baadaye akajua amepata binti mkali(mzuri) zaidi yake anaumia .
Sijui kwa wengine lakini mie hainiumi as long as moyo wangu umeshamshiba na vituko vyake,ampate mkali kupindukia
hua staki hata kujua anafanya nini wala yuko na nanani when am done with am done...
 
Hiyo kawaida sana kinachoumiza ni kama jamaa amechange kimaisha na kipato kimeongezeka then wewe upo na man ambaye kipato chake hakimfikii x then hata life lake n normal tu so ukipata taarifa kwa mtu aliekua akifahamu uhusiano wenu akikwambia kumuhusu jamaa dah karoho kanaumaga kimtindo japo si sana.,maana unakuta mtoa taarifa anakuja na mbwembwe nyingi hatari yan.
KUMBE MNAWAZA VIPATO VYETU TU KWELI KARNE HII KAZI TUNAYO
 
Back
Top Bottom