Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
wakati juzi juzi rais au m/kiti wa chama cha chukua chako mapema alikuwa anafungua matawi, kuna mengi ya kujiuliza pale alikuwa kama rais au m/kiti kama alikuwa nia kama mwenyekiti zile gharama zilizokuwa zinatumika zilkuwa zimegharamiwa na nani? ccm au serikali? hii itakuwa ni serikali imegharamia na kupoteza muda wa kuhudumia taifa kwakwenda kufungua matawi ni jisi gani rais wetu anavyoligawa taifa wakati wa matukio kama yale na kusau wajibu wake anapoingia madarakani na kiapo alicho kula, vile vile kulikuwa na maafisa usalama pale walilipwa posho na serikali kwa hiyo hapa utaona jinsi gani ccm hawana upeo wa kufikira mbali kutofautisha kazi za chama na serikali, na hawajuyi kuzingatia itifaki zile nikazi za katibu, hawa ccm watawajibika tu wakati utakapofika kwa kutumia rasilimali za wananchi vibaya, wadu mnasemaje, kuhusu hili?