unajua rais anatutania pamoja na ccm yake

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
wakati juzi juzi rais au m/kiti wa chama cha chukua chako mapema alikuwa anafungua matawi, kuna mengi ya kujiuliza pale alikuwa kama rais au m/kiti kama alikuwa nia kama mwenyekiti zile gharama zilizokuwa zinatumika zilkuwa zimegharamiwa na nani? ccm au serikali? hii itakuwa ni serikali imegharamia na kupoteza muda wa kuhudumia taifa kwakwenda kufungua matawi ni jisi gani rais wetu anavyoligawa taifa wakati wa matukio kama yale na kusau wajibu wake anapoingia madarakani na kiapo alicho kula, vile vile kulikuwa na maafisa usalama pale walilipwa posho na serikali kwa hiyo hapa utaona jinsi gani ccm hawana upeo wa kufikira mbali kutofautisha kazi za chama na serikali, na hawajuyi kuzingatia itifaki zile nikazi za katibu, hawa ccm watawajibika tu wakati utakapofika kwa kutumia rasilimali za wananchi vibaya, wadu mnasemaje, kuhusu hili?
 
hi, unaweza ukaanza kutafuta muda na mada ya kujifurahisha, hii siyo yenyewe, hivi nani asiyejua kwamba Jk ni Rais wa jamhuri lakini pia ni Rais aliyetokana na ccm, hivi unatofautishaje muda wa Kulindwa na usalama na ulu wa kulindwa na makada. Jk kwenda kufungua matawi ya ccm hakumuondoshei nafasi yake ya kuwa Rais wa wa Tz, nadhani hapa umechemsha kidogo. La msingi ni kuangalia jee kufungua kwake matawi ya ccm kumeathiri vipi utendaji wa shughuli zake za urais, ila pia usisahau na wana ccm pia ni wa Tz na hivyo wanayo haki ya kuwa na Raisi wao mana na wao ni sehemu ya hizo shughuli za rais wa nchi.
Mimi nadhani tumeacha kuwa watu wenye kuleta hoja za msingi na badala yake tunaangalia personalities.
Kaka lete hoja na siyo haja.
 
haina shaka siku mwenyekiti wa CCJ akiwa Rais naye atatumia rasilimali za serikali kwa shughuli za chama chake.
 
Wana JF,

Kuuliza sio ujinga jamani ivi kule USA BARAKA OBAMA ndie Mwenyekiti wa DEMOCRATIC PARTY?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom