Unajua ni vigumu kiasi gani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufikia malengo yake

Nazani migongano na minyukano juu ya Utawala wa Mama ndio kitu kinachoendelea Sasa. Na NI vilevile kila moja anataka kuficha makosa yake. Kuongoza nchi kando kwa kushauri au kushauri anavyojua. Sasa NI Kazi ya washauri kumfanya Raisi asipitie kabisa maoni ya mitandaoni ili asiyumbishwe na watu wengine Ila kufata mawazo yao.
Jidanganye hata Joe Biden anapita kwenye mitandao ndugu yangu mambo yamebadilika sn
 
Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake.

Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Hata kesho wakiongea nae hakuna mpinzani atakayemshauri SSH juu ya korosho ya Mtwara au Pamba ya Wasukuma.

Hakuna anayeshauri Mambo ya kitaifa yasihusu maslahi binafsi. Wanaccm wakipigania mitazamo ya Mtangulizi wake inayowapa uhakika wa kuwa sehemu ya utawala huku wapinzani wakipigania kwanza makwazo binafsi.

Je, unajua ni vigumu kiasi gani kutoka hapo. Na ni vigumu kiasi gani kuzifuata ndoto zake. Haya ni mambo atayopitia kufikia ndoto zake kwenye nyanja zifuatazo.

1. Demokrasia ya kweli. Duniani Kunanchi na na watu ambao NI Ant democracy. Watu hao ambao mzizi wake NI ujamaa hujalibu kuvifanya Dunia nzima kufanya mitazamo yao kwa ku-invest chini kwa chini kuua democracy na utawala wa Sheria na NI hatari kuwa kinyume chake. Fikiria kama Urusi iliweza kuingilia uchaguzi Marekani na kufanikisha kuingia kwa Trump vipi kwa Taifa changa Kama letu. Hii sio Tanzania tu hata nchi za Magharibi husumbukia sana kufikia democracy ya kweli.

Hata Hayati Magufuli mwanzo alitaka kupigania demokrasia ya kweli. Nakumbuka kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar figisu za CCM zilipoanza alisema wazi kabisa na nyinyi CCM wakati mwingine mkubali kushindwa Ila kilichofanya abadili mitazamo baadae NI Nani na kwanini hakuna anayejua.

Pili wabunge na utawala wote alionao unatokana na Legenc na Mipango ya kiongozi aliyepita. Hakuna atakaekubali kuona anafanya kitu kitakachohatarisha ubunge au nyadhifa zao.

2. Uchumi. Kutoa fedha mtaani na zote kuzijengea miundombinu lilikuwa kunaua uchumi polepole. Kuurudisha uchumi kwa watu sio Jambo Rais. Nakumbuka nyerere alijenga Viwanda kwa kutumia pesa nyingi. Ali hiyo ilifanya watu mtaani kukosa fedha baadae wakakosa fedha ya kununua bidhaa. Wakarudi kwenye biashara za kubadilishana bidhaa Yani Ng'ombe kwa gunia la mahindi au chunvi ya Mawe. Viwanda vya bia na konyagi vilikosa wateja watu wakaanza kunywa gongo na komoni. Kiwanda Cha viatu Cha Bora kikafa watu walikata taili kuunda viatu. Baada ya watu kukosa pesa kinachofata NI serikali kukosa Kodi.

Uchumi JPM alikuwa anakaria kugota pagumu, mikopo ilikuwa inafikia ukingoni, Wa kuchukuliwa kwenye ac walikuwa wanaenda ukingoni. Matajili waliotengenezwa na Mkapa walikuwa wanashuka siku Hadi siku.

Hapa ili kuurudisha uchumi lazma atafute nguvu mpya ya wahisani. Aanze safari nje. Ata nyerere kwenye njaa alienda kuomba msaada Marekani. Lazma asimame atoke arejeshe wawekezaji. JK alimleta Dangote.

Je, ataweza kwenda nje, au CCM watampa wakati mgumu.

Ila naamini tutavuka.
Well said Mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom