Unajua Mimi ni Nani? au Una mtu pale? Rais Samia hii ndio dawa yake, imepatikana

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Siongei mengi.

Pakua pdf Jisomee mwenyewe!

Halafu toa maoni yako, ni nini mtazamo wako katika hili.

Mimi nampa kongole, kapiga mwingi sana.
 

Attachments

  • UWAJIBIKAJI SEHEMU ZA KAZI - UMMA NA BINAFSI (2).pdf
    329.1 KB · Views: 19
Me nilijua ni serikali ndo imeanzisha kumbe ni kama mapendekezo ya mwananchi mwenzangi
 
Maoni yangu ni kwamba imekaa vzr sana itasaidiano endapo itafanyia implementation
 
Back
Top Bottom