Unajua kwanini Wachagga wengi sio waganga wakienyeji??

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Wakuu

Nadhani hata wewe utakuwa umejiuliza hili swali mara nyingi mno "kwanini waganga wengi wa kienyeji sio wachagga" yaani ni vigumu kusikia Dk.massawe anatibu mvuto wa mapenzi biashara sijui kukuunganisha Freemason na E.t.c

Jibu ni kuwa Uganga haulipi kabisa ungekuwa unalipa basi ungekuta bango limeandikwa
"Mganga kutoka moshi"

..........
Kilaza
 
uganga unalipa nigeria na ghana sio tanzania mganga hana hata kiti cha plastic anakalia ndoo...wenzao wanatibu kwa kompyuta
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha !, mkuu wewe noma sana mpaka na computer
 
ndiooo! anatibu kwa kompyuta jumba lake lakueleweka mgari wamaana hata akikwambia anaweza kukupa utajiri unashawishika
hawa wa Tz wezi tuu
 
Wakuu

Nadhani hata wewe utakuwa umejiuliza hili swali mara nyingi mno "kwanini waganga wengi wa kienyeji sio wachagga" yaani ni vigumu kusikia Dk.massawe anatibu mvuto wa mapenzi biashara sijui kukuunganisha Freemason na E.t.c

Jibu ni kuwa Uganga haulipi kabisa ungekuwa unalipa basi ungekuta bango limeandikwa
"Mganga kutoka moshi"

..........
Kilaza

ha ha Jichanganye unijue vizuri.
 
Attachments

  • 1430206957529.jpg
    1430206957529.jpg
    28.8 KB · Views: 764

Similar Discussions

Back
Top Bottom