Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda? Siri ni hii

Acha uongo we jamaa kwamba haukusikia kwenye bunge la EU walivyokuwa wanalalamika na kuhoji Tz mmechukua pesa kwa ajili ya kujikinga na Covid na hamfuati masharti yao? Au kisa mzigo ulikuwa unapigwa kimya kimya?
Soma report vizuri... katika nchi zote za Africa mashariki only Tanzania debt free kutokana na hela za korona.

Hata hivo hiyo sio lengo la mada yangu hapo juu. Someni in-between lines
 
Gharama za Maisha zimepanda leo au maisha yamekuwa yakiendelea kuwa magumu siku baada ya siku...

Au umesahau msemo wa vyuma kukaza ulianza kipindi cha nani ?
 
Ajabu lingine hujajiuliza kama JPM angekua Leo tungekua wapi?!!.. unadhani ungeweza hata kulalama hapa!!..Hii ndio raha ya kukubali chama kimoja tunakua hakuna mawazo mbadala!!...Tulipe Kodi
Ndugu Francis, wala sijalalama but nnafikisha ujumbe kwa watu maalumu juu ya kwanini tuko kwenye hali hii ya sasa.

#MzalendoMimi
 
Boss, huo sio uhalisia. Tunao matajiri TZ unasema, wenye mali zisizohesabika kwenye mfumo rasmi, pesa zisizokaa kwenye mifumo halali ya kifedha, hawa ndo matajiri unaosema wasilaumiwe?

Mtumishi asiye na kiwanda wala biashara yoyote aliyowekeza kwa zaidi ya milioni 100 ILA ana 3trilioni benki nje ya nchi?

Huyu ambaye ana access ya kupewa mradi na serikali wenye thamani ya bilioni 900 bila kuwa hata na senti tano ya mtaji kwakuwa tu atatoa bilioni 120 kwa vigogo kutoka kwenye pesa hiyo hiyo ya mradi?

Au matajiri wapi tulionao hapa TZ unaozungumzia?

Makampuni 10 yanayoongoza kwa mitaji Afrika Mashariki!

1. Safaricom $13.3bn (Kenya)
2. TBL $1.4bn (Tanzania)
3. Equity $1.3bn (Kenya)
4. KCB $1.2bn (Kenya)
5. EABL $1.1bn (Kenya)
6. Vodacom $744m (Tanzania)
7. TCC $733m (Tanzania)
8. Co-op Bank $708m (Kenya)
9. NMB $505m (Tanzania)
10. Stanchart $490m (Kenya)

Note!
⏩Makampuni yote 10 yapo Tanzania na Kenya. Hakuna kampuni kutoka Uganda, Rwanda, Burundi wala Sudan Kusini.
⏩Makampuni mawili ya Tanzania yenye mitaji mikubwa ni kampuni la Pombe (TBL) na kampuni la Sigara (TCC). Una maoni gani?
⏩Safaricom ina mtaji mkubwa kuliko jumla ya mitaji ya makampuni yote tisa yanayofuata. Yaani ukijumlisha mitaji ya makampuni hayo tisa bado hupati mtaji wa kampuni ya Safaricom.

Wapi Azam na Mo Enterprises?
Je,Sekta gani Tanzania ambayo ingeweza kufanya vizuri zaidi ukiacha pombe na sigara...

Wataalamu wa masuala ya kifedha na wachumi ni wapi tumekosea kama nchi?

Source : Africa Business Heroes.Published financials
 
Hii si habari nzuri kwa wasifiaji boss, inasikitisha sana lakini kuna mtu atasema ni uongo, ukweli ni kuwa ukwepaji wa kodi ambao unawezeshwa na hai wanaojiita serikali ni mkubwa na ndio maana mtu aliyewekeza nchi kadhaa Africa hayupo kwenye listi.

Ebu nieleweshe kidogi, dude kama Tanesco kwa umuhimu wake, linakwama wapi? Au ndo linatoa huduma, halifanyi biashara?

Hivi kumbe sigara na pombe zina thamani kubwa kuliko madini sio?

Wauzaji wa gesi kwa sasa hapa TZ wapo nafasi ya ngapi?

Airline zetu, tumewekeza ngapi?

Kwahiyo, Equity, KCB zina mitaji mikubwa hapa TZ kuliko benki zetu?

Sielewi hata.
 
Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?

Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa na huyu baba mzazi. Hiyo moja

Mbili: katika kipindi cha koro Tanzania 🇹🇿pekee ilikuwa katika mstari mzuri wa ukuaji wa uchumi, ndo maana tuliingia uchumi wa kati. Na pia athari za koro hazikuwa kubwa nchini kwetu na hakuna hata mia tuliyochukua ambapo wanyonge ndo tungetakiwa kulipa.

Sasa, si zamu ya matajiri kuishi kama malaika, tunza kukumbukumbu.

Ila kikubwa kabisa ni vigezo na masharti ili wote tuumie, Tanzania sio kisiwa (Sio kauli ya kubeza). Jirani akifiwa na wewe weka msiba.

ENDAPO TZ INGEKUWA KISIWA BASI TUSINGEPOKEA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA.

Ukielewa mwelimishe na jirani yako.

#TulipeTOZO
Lipa kodi acha malalamiko Si mnajiita wazalendo nyie ccm?
 
👍
 
Huyo unayemuita baba mzazi ndio sababu ya hizi tozo. Utawala wake wa kukopa mikopo ya hatari yenye riba kubwa ndio umetufikisha hapa. Hizo nyingine ni porojo tu.
 
Hii si habari nzuri kwa wasifiaji boss, inasikitisha sana lakini kuna mtu atasema ni uongo, ukweli ni kuwa ukwepaji wa kodi ambao unawezeshwa na hai wanaojiita serikali ni mkubwa na ndio maana mtu aliyewekeza nchi kadhaa Africa hayupo kwenye listi.

Ebu nieleweshe kidogi, dude kama Tanesco kwa umuhimu wake, linakwama wapi? Au ndo linatoa huduma, halifanyi biashara?

Hivi kumbe sigara na pombe zina thamani kubwa kuliko madini sio?

Wauzaji wa gesi kwa sasa hapa TZ wapo nafasi ya ngapi?

Airline zetu, tumewekeza ngapi?

Kwahiyo, Equity, KCB zina mitaji mikubwa hapa TZ kuliko benki zetu?

Sielewi hata.
Kuna tatzo mahali. Maybe hawaweki taarifa zao kiuhaliasia... ndo maana ujanja ujanma mwingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom