miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 504
- 927
Kuna blogger mmoja muhindi ni best yangu sana. Ubest wetu ulianzia kule freelancer.com tukawa tunachat mara kwa mara mpaka tumekuwa mabest akaja Tanzania kutembelea Arusha na Kilimanjaro.
Jamaa ana blog yake na kwa mwezi anaingiza dola 2,300. Ameniambia siri yake kubwa ni kuwa kule kwao watu wanapeana support sana. Bloggers wengi wana mfumo wa ku exchange traffic na watumiaji wengi wana mfumo wa kuappreciate kile ambacho bloggers wanaandika.
Mtu unakuta anasoma makala kwenye blog na anapenda sana ile makala anajua hawezi kuchangia kwenye donation kwaiyo anaamua kudonate kwa njia mbadala. Ana click ad na anascroll scroll hapa na pale then anasepa. Akija tena kutembelea blog hiyo anaclick ad flani.
Basi unakuta kwa siku anapata more than 800 clicks kati ya 20,000 users wanaotembelea blog yake. Anasema tatizo la afrika mtu hata akisoma kitu akakipenda mtandaoni hawazi hata kuwa clicking an ad ni njia ya kusupport kazi ya msanii aliyebuni blog hiyo.
#KukuzaMaarifa #KuongezaUstawi