Unajua kwanini blogger wa nje wanapiga hela za adsense sana?

Sisi si tunachojua ni kwenda kwa mtaalam umpate demu mkali ahahhhaha bado sana TZ yaan mtu wa computer science anamaliza degree with nothing mpaka anatamani tu angeenda short course akasome ata Graphics kwa mhindi posta ajiajiri ata kule Freelancer.com
tunasafari ndefu sana wabongo.

Ila neno mtaalam 'mganga' huwa linaniacha hoi
 
2300 hata kibongo bongo ni kawaida sana na hawa tunawaitaga small boys maana kama sijakosea hii 2300 inatolewa hata kwa western union, tabaka linalofata linaitwa big boys hawa ni blohgers wa hapahapa bongo wanakatazwa kutolea pesa western union kwa sababu wanapokea mipunga inayovuka limits za western union na hivyo wanalazimishwa kutumiwa pesa kwa njia ya wire transfer kwa benki, hawa big boys Mara nyingi wanapiga elf 3 hadi elf 8 na wachache zaidi wanaohesabika wanazidi hapa:: hawa ikifikaga tarehe za kulipwa tarehe 21 hadi 24 wao huwa hawapangi foleni za small boys kule western union bali wao huwa wanasubiri meseji kutoka equity bank , crdb au benki nyingine walizoungia wire transfer kujulishwa kwamba mzigo upo credited kwenye account zao:):):p

mbongo mtu mwengine aisee, mbongo hategemei hayo ma seo yeye ana tumia matriki kupata traffic kwenye blog yake ambayo mara ya mwisho kuweka post ilikua mwaka juzi, kidogo unge refer wale wenzetu wa majuu wanaopiga dola elf 20 na kuendelea lakini hio 2300 huyo blogger wa kihindi nampa pongezi ila bado ana kazi ya ziada na ikibidi aje hio 2300 wabongo wamuuzie triki za traffic na matriki mengineyo :):)
 
Kwenye bloggers 100 wakiBONGO 20 tu ndio nadhani naweza nikawaweka kuwa wanafaidi na adsense kila mwaka nimewatengenezea watu wengi sana Blogs since 2013 lakin wengi wamekata tamaa na wengi waliuza account zao za adsense. So kama wewe ni small or big boy conglatulation but usije ukadhani blogger wengi wakTZ wanapata pesa.
PESA za google watanzania wengi wanapata kupitia YOUTUBE hapo ndio ukiniambia nitakubaliana na wewe. Kwa traffic zipi na CPC zipi upewe usd 2300 maana blog nyingi traffic zake ni low quality sana. We have a journey guys ya kusogea, WAHINDI uwez ukawaweka kando unaopoongelea ishu za ONLINE EARNINGS ndio maana ata Makampuni ya ads or ziznazofanya affiliates (CPA, or sale commission based) unakuta zina office India na kwa huku kwetu ni South Africa na Kenya so ukiona hvyo ujue tu kuna mahali wamekuzid.
Kwa kukazia hapo Go back before forex haijaanza kuwa popular TZ wenzetu South Africa na kenya walikuwa wanaTRADE kitambo tu na Brokers kwao wapo kitambo na ata FREELANCER.COM wana Offices in Nairobi and South Africa, CLICKBANK uwez ukajiunga kwa address ya TZ lazima uweke SA so aliekuzi amekuzid tu lazima tumpe heshima yake tu.
Tangu lini umewahi kuona blogger gani TZ amehudhuria ata International events yoyote mfano AFFILIATE SUMMITS? Just check Indians.
Lazima tukubali makosa yetu na kuangalia tulipojikwaa ili tusije tukaanguka tena maana ata kenya kuna BLOGGERS Association of Kenya, na ukishaona association ujue hyo kitu kina power yake ata kwenye nchi ndio maana unaona wenzetu PAYPAL wanatoa mpaka kwa MPESA wakati sisi Bank to ni ndoto, SKRILL to Safaricom MPESA. We must be creative baada ya kuona youtube kuna pesa sasa hv kila kijana ana Youtube channel ata kama hana ata office au video camera yaan kazi yake ni download video and upload it back hyo nguvu ingewekwa kwenye njia zingine online ingekuwa poa sana.
CONCLUSION:
Important thing is not to get $2000 today and blog die but very and most important is to creat a money channel which can Bring you a Recurring income this means you must have a Quality post whch u can stay for 2 or even a month without posting but traffic continue flow.
##ALL THE BEST
 
Nimebaki nacheka tu, internet marketers wa bongo unawajua au unawasikia, Wana njaa vibaya mno wana virtual bank cards za nje ya nchi zinazokubali PayPal miaka na miaka na hawana habari ya PayPal kukataliwa Tz hawa wabongo wapo ahead of da game, kwa taarifa yako hapo nyuma kabla ya baadhi ya wabongilo kuhamia kuwa bloggers walichapa sana dola hadi accounts zinasoma dola za klimarekani laki 3 kutoka kwa amazon, Amazon ile kitu ilifanya wabongo walale hotel I za laki 5 miaka michache iliyopita.

Ubaya wa wabongo ni wasiri mno ,hutaamini mambo yanayofanywa na internet marketers wa kibongo hapa maana huko forums za wazungu watu wana discuss njia za kuzi make dola 1,000 kwa mwezi ila wabongo hio dola 1000 ni siku 3 tu maana kwa lile traffic linalosukwa na ma bloggers "watukutu" wa hapa kwetu mtu anapitisha viewers elf 4 kwenye blog kwa siku na clicks zikiwa elf 1 kwa cpc za bondeni zinayoenda 0.2 hadi 0.4 hapo inalazwa dola 300 salama salmini na kwa siku 3 hadi 4 dola 1000 sio muujiza tena bali ni reality.

Kwa kifupi bloggers wa kibongo wanaofanya blog kwa kufata njia nyeupe kusubiria organic traffic hawa mara nyingi wanalaza 100 hadi 300 ila wale watukutu wanaonyaka traffic kwa tiki taka juu kwa juu kwa njia kama redirections, click jacking scripts, n.k hawa ndo wanafumua dola 1000 kama wanacheza game.

Katika fursa ambayo sijawai kuona mafanikio yake zaidi ya kwa hapa bongo ni forex, kwenye hii kitu ya forex nimeona kuna maneno na sarakasi kibao huku watu wakitajirika kwa kupitia ada wanazolipwa na wale wanafunzi wasijua forex kwenye semina wanazoandaa ambazo Mara nyingi ada ni laki 2 kwa siku mbili au tatu na hapo mwanafunzi anafundiahwa vitu vya kawaida sana na hawa wapiga hela wanaojifanya ni waalimu waliobobea, ila cha ajabu hao hao wanaojinadi ni mentors / walimu wanaoandaa semina wao wanaogopa kufanya forex na hata wakifanya forex wanaishia kula za uso kwa hio wanaamua kupata hela kwa kuandaa tu semina na kuwalazimisha wanafunzi wao wa trade na mabroker waliopiga dili la kugawana faida na hao mentors, na kuna wimbi la vijana kwa sasa kununua interview kutoka kwa watangazaji maarufu ili watoe ushuhuda wa uongo kwamba forex imewatajirisha jaraka kwa lengo la kupata kuanza kutafutwa na watu wanaozani forex ndio tumaini la kukimbilia kumne wanageuzwa wanafunzi wataolipia ada ya semina ili kumtajirisha huyo alienunua interview
 
Wapo wanaopata kwenye forex na wanaochezea za uso maana ata kwa wenzetu ipo hyo BUT kwa point uliosema hapo nyuma ni asilimia ndogo sana ya wabongo wanaopata pesa za google kama blogger wanaopga pesa iwe kwa white hat or black hat ni wachache sana sio kwa jinsi ulivyotia chumvi maana tunajijua wabongo bro Wakina Issa ndio moja kati ya watu wa mwanzoni sana kufanya blogging hapa TZ but mafanikio tungeyajua tu hakuna kitu kinachojificha chini ya jua. Alaf kula pesa za amazon kwa kipindi cha nyuma kama mtu ulikuwa mjanja na creative kwnye Digital marketing ilikuwa Rahisi maana affiliate marketing ilikuwa haijavamiwa na watu wengi kama sasa hivi.Bado sijaona website ya kupiga pesa za kutisha bongo coz ata CPC za huku kwetu bid yake ni ndogo sana tofauti na za TIER 1 countries.
Nakumbuka njia za kama hzo nilizitumia kpnd nipo versity 2014 nilikuwa nachange IP address nikawa naclick nilifanikiwa kutoa $250 account wakaifunga ikiwa na $40 nikafungua nyingine nikawabutua tena ila haikudumu nayo wakaifunga but sasa hv jamaa wana bot filter ya hatar yaan fake click huwa fasta tu ushafungiwa account so sidhani kama unachokiongea unajua au yawezekana is a just theory kwako.
 
the issue wewe unazungumzia blogger wanaofanya clean blogging hapa Tanzania eg Mpekuzi,Ayo,issa Michuzi etc... Je wajua kuna bloggers wengi wanalaza more than 10,000$++ per month na site zao hazipo kwenye search engine i.e hazipo index na google... Je wajua kuna blogger wa bongo hawajawahi kuweka post zao bongo na wala hawajulikani anywhere wao wana share UK, Singapore, Australia etc huko unakutana na CPC za 2$+ to 7$ kwa value keywords ...Hapo south tuu unakutana na CPC za 0.1$ to 0.5$ depends na keywords.. Wewe unazungumzia Tanzania CPC ni 0.01$ to 0.05$ lazima dollar 2300$ utaona nyingi sana Japo kwa maisha halisi ya kitanzania hiyo pesa ni ni nyingi tuu kujikimu but in reality wapo wengi wanapata ziadi ya hiyo. Pia wapo blogger wa kibongo wanaofanya clean blogging kwa kuweka habari za Ulaya na AMERICA na ma-traffic makubwa kama *:p*LOTE*:p* na wanapata sana more than hawa wanaofanya clear hapo bongo na wana majina eg Ayo, Michuzi...:cool::cool::cool::cool:
 
I get you ma man!!! Najua kupata pesa ni kutarget CPC za kibabe tu kama za Australia for example kuna jamaa nilikuwa nachat nae nilikutana nae kule Worrior forum yeye huna anafanya affiliate marketing na Niche aliochagua ni DATING na yeye huwa anatarget Scandnavian countries akanionyesha wanavyomlipa mpaka kichwa kikazunguka coz ilikuwa ni CPA based products yaan jamaa wanatoa mpaka $20 per email submit alaf $400- 600 per signup/ sale nikdhani uongo nikairukia site yenyew nikaona kumbe sikudanganywa. So kwa ulivyoniambia hapo nakubali.
 
the issue wewe unazungumzia blogger wanaofanya clean blogging hapa Tanzania eg Mpekuzi,Ayo,issa Michuzi etc... Je wajua kuna bloggers wengi wanalaza more than 10,000$++ per month na site zao hazipo kwenye search engine i.e hazipo index na google... Je wajua kuna blogger wa bongo hawajawahi kuweka post zao bongo na wala hawajulikani anywhere wao wana share UK, Singapore, Australia etc huko unakutana na CPC za 2$+ to 7$ kwa value keywords ...Hapo south tuu unakutana na CPC za 0.1$ to 0.5$ depends na keywords.. Wewe unazungumzia Tanzania CPC ni 0.01$ to 0.05$ lazima dollar 2300$ utaona nyingi sana Japo kwa maisha halisi ya kitanzania hiyo pesa ni ni nyingi tuu kujikimu but in reality wapo wengi wanapata ziadi ya hiyo. Pia wapo blogger wa kibongo wanaofanya clean blogging kwa kuweka habari za Ulaya na AMERICA na ma-traffic makubwa kama *:p*LOTE*:p* na wanapata sana more than hawa wanaofanya clear hapo bongo na wana majina eg Ayo, Michuzi...:cool::cool::cool::cool:
Ndicho nilichokua najaribu kumuelezea, kuna bloggers wa hapa bongo hawana habari na content za bongo wao target zao zipo huko south Africa, Canada, Singapore, na nchi zenye CPC kubwa, kuna wabongo wengi tu ambao site zao hata google hazipo, design iko kawaida kwa theme za bure(novapress) na wanalaza 300 hadi 500 daily na mpunga kama kawaida unaingizwa benki
 
Vipi kuhusu propeller ndugu nayo inalipa vizuri? Nimeangalia Adsense naona ina masharti mengi sana ila naona Propeller haina masharti magumu
 
Duh...aiseee..shida moja narudia shida mojaaaa wabongo wanofanya blogger ni wanoko wa kiwango cha lami..yani wanaona kuelekeza mtu itakuwaaa nongwaaaaa..

Kuna jamaa mmoja hapa hapa nakatoka kuchangia Uzi huuhuu hapo juu akieleza jinsi watu wanavyopoga USD ..nilimfuata inbox jamaa akwa amechunaa utadhani labda akijibu hizo USD zake zitaisha..

Ila nilichogundua kingine ..kama ilivyokuwa inahubiriwa kwenye forex japo kuna walionufaika na wengine Julia kilio Kikuu..

Hivyo hivyo kwa wabongo..hapa wanatamba weeeeeee...kumbe hakuna uhalisia utakuta mtu kwa mwezi anaingiza USD 500 anapayukaaaa kuwa anaingiza USD 20000 in uwongo uwongo zaidi ya tuambiwavyo...
 
Hao watu husitarajie wakupe kitu kukuinua katika issue za blog
 
Watz tunajijua wenyewe yaan mtu kukusaidia sahau mtu anaona kama utampita wakat kila mmoja ana njia zake tena mafanikio yakiwa kwa watu wengi ndio inakuwa poa zaid maana ata Unemployment rate itakuwa ndogo sana. Ila ndio tulivyo maana ata South Africa ni mara kumi ukaribiane na Mkenya mtaenda sawa kuliko MTZ taan mTZ anaweza ata akukochomeshea kwa kesi ya uzushi..... Tuna safari ndefu sana
 
Hao watu husitarajie wakupe kitu kukuinua katika issue za blog
Blogger hawatofautiani na mafundi simu aisee. Kuna mmoja namshukuru sana anaitwa Joram Dymisster alinipa template ya bure ambayo naitumia mpaka sasa. Ni nzuri
Vipi kuhusu Propeller ndugu? Maana naona kama adsense nitachemka na nitakula ban mapema. Kuna trick zozote za kupiga mpunga zaidi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom