- Thread starter
- #21
Kizazi cha Kikwete hiki ni balAa tupu!
Nasikitika kuwa bado you are too musolinistic... Jirekebishe hii si tabia nzuri. Look, main story ilikuwa.... Waingereza hawataki Prince Charles awe mtawala wao. Sasa kama ni mholanzi, mgiriki, wa danmark au kama wa Pemba kwa Mukizahp2 ama kama wa kutoka kwenu Ujaluoni.... that is minor. Main story haiwezi kuwa VAPOUR kwa hii very minor info. To be a big mouth is a sin.. you know that?