Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,887
hebu chekicheki unaweza kuona sifa zinazolingana na pombe uipendayo.
NO. | UJAZO (mililita) | NGUVU (asilimia) | KIASI CHA POMBE(mililita) | WANAWAKE | WANAUME |
1. | 350mls | 4% | 14.0mls | Bia mbili kwa siku. usizidishe bia kumi kwa wiki. | bia tatu kwa siku. usizidishe bia 15 kwa wiki. |
2. | 500mls | 4.5% | 22.5mls | Bia moja na nusu kwa siku. usizidishe bia 15 kwa wiki. | Bia mbili kwa siku. usizidishe bia kumi kwa wiki. |
3. | 500mls | 5% | 25.0mls | Bia moja na nusu kwa siku. usizidishe bia 6 kwa wiki. | bia mbili kwa siku. usizidishe bia tisa kwa siku. |
4. | 500mls | 5.5% | 27.5mls | Bia moja kwa siku. usizidishe bia tano kwa wiki | Bia moja na nusu kwa siku. usizidishe bia nane kwa siku. |
5. | 500mls | 6% | 30.0mls | Bia moja kwa siku. usizidishe bia tano kwa wiki. | Bia moja na nusu kwa siku. usizidishe bia nane kwa wiki. |
6. | 500mls | 6.5% | 32.5mls | Bia moja kwa siku. usizidishe bia nne kwa wiki. | Bia moja na nusu kwa siku. usizidishe bia saba kwa wiki. |
7. | 500mls | 7% | 35.0mls | Bia moja kwa siku. usizidishe bia nne kwa wiki. | Bia m oja na nusu kwa siku. usizidishe bia sita kwa wiki. |
7. | 500mls | 7.5% | 37.5mls | Bia moja kwa siku. usizidishe bia nne kwa wiki. | Bia moja kwa siku. usizidishe bia sita kwa wiki. |
8. | 750mls | 8% | 60mls | nusu chupa kwa siku. usizidishe chupa mbili na nusu kwa wiki. | Robo tatu ya chupa kwa siku. usizidishe chupa tano kwa wiki. |
9. | 750mls | 9% | 67.5mls | Nusu chupa kwa siku. usizidishe chupa mbili kwa wiki. | Robo tatu ya chupa kwa siku. usuzidishe chupa tatu kwa wiki. |
10. | 750mls | 10% | 75.0mls | Nusu chupa kwa siku. usizidishe chupa mbili kwa wiki. | Nusu chupa kwa siku. usizidishe chupa tatu kwa wiki. |
11. | 750mls | 11% | 82.5mls | Nusu chupa kwa siku. usizidishe chupa mbili kwa wiki | Nusu chupa kwa siku. usizidishe chupa tatu kwa wiki. |
12. | 750mls | 12% | 90.0mls | Chupa moja gawa mara tatu na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe chupa moja na nusu kwa wiki. | Nusu chupa kwa siku. Usizidishe chupa mbili na nusu kwa wiki. |
13. | 1000mls(1lita) | 12% | 120mls | Gawa kwa nne na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe chupa(box) moja kwa wiki. | Gawa kwa tatu na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe chupa (box) mbili kwa siku. |
14. | 750mls | 18% | 135mls | Gawa kwa nne na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe chupa moja kwa wiki. | Gawa kwa tatu na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe chupa moja na nusu kwa wiki. |
15. | 100mls | 35% | 35mls | Kinywaji kimoja kwa siku. usizidishe vinywaji vinne kwa wiki. | Kinywaji kimoja kwa siku. usizidishe vinywaji sita kwa wiki |
16. | 200mls | 35% | 70mls | Nusu kinywaji kwa siku. usizidishe vinywaji viwili kwa wiki. | Nusu kinywaji kwa siku. usizidishe vinywaji vitatu kwa wiki. |
17. | 500mls | 35% | 175mls | Gawa kwa tano na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe kinywaji kimoja kwa wiki. | Gawa kwa tano na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe kimoja na nusu kwa wiki. |
18. | 750 | 40% | 300mls | Gawa kwa kumi na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe nusu chupa kwa wiki. | Gawa kwa saba na kunywa kimoja kwa siku. usizidishe robo tatu ya chupa kwa wiki. |