Afro-Arabica JF-Expert Member Aug 27, 2013 1,107 492 Dec 5, 2013 #2 Hatari kwake dereva !! asubiri hadi ipoe...!
Gorgeousmimi JF-Expert Member Jun 21, 2010 9,296 7,666 Dec 5, 2013 #3 Hii hatari anataka ababuke uso huyo?mvuke unaunguza kuliko moto!!
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 Dec 5, 2013 #4 Alikuwa anataka kutengeneza chang'aa a.k.a gongo imemshinda Lol!
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,144 15,143 Dec 5, 2013 Thread starter #5 Anafanya Steaming....akitoka hapo kanawiri
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,823 Dec 5, 2013 #6 mi nikajua mambo ya minyama ya kuchemsha na ndizi kibaao,
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,142 13,216 Dec 5, 2013 #7 Ukumbuke kama ni Ulaya pia kuna baridi kwa sasa
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,515 6,489 Dec 5, 2013 #9 jozzeva said: mi nikajua mambo ya minyama ya kuchemsha na ndizi kibaao, Click to expand... Wewe utakuwa jamii ile ya akina Mushi hakika
jozzeva said: mi nikajua mambo ya minyama ya kuchemsha na ndizi kibaao, Click to expand... Wewe utakuwa jamii ile ya akina Mushi hakika
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Dec 5, 2013 #10 Amavubi said: Ukumbuke kama ni Ulaya pia kuna baridi kwa sasa Click to expand... Kwa hiyo ana dilute hali ya hewa hapo...
Amavubi said: Ukumbuke kama ni Ulaya pia kuna baridi kwa sasa Click to expand... Kwa hiyo ana dilute hali ya hewa hapo...