Unajua kama maneno haya yana kirefu chake? Pita apa uelimike kidogo

Unaweza kubadilia pia ikaleta maana nyingine ya neno
 
umechanganya na chai kibao humo
mfano "etc" sio "end of thinking capacity" bali ni kilatini "et cetera" kwa maana ya "and other similar things".
kwa kutumia LOGIC tunasema:
if A = false, then (A)AND(B) = false. Japo hatujachunguza truth value ya B, kwa lugha rahisi kama umeandika boko kwenye kirefu cha "etc" hakuna haja ya kuchunguza mengine uliyoyaandika ila ni wazi statement yako yote ni chai
Naunga mkonyo hoja
 
Najua kama kirefu chake ni et cetra. Kwani hakuna maneno ambayo hayana maana zaidi ya moja? Mfano WVGA ina maana zaidi ya moja ili nimechukua maana moja na ndivyo nilivyofanya kwenye Etc.
Wide Video Great Array
Wide Video Graphic Array.
....
So usikimbilie ku-Conclude mkuu.
Asante kwa Changamoto
watu huwa wanaforce kua mtu amekosea tu siko zote kukupongeza ni ngumuu
 
Back
Top Bottom