Unajua kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo

Unaju kama Jogoo ni zaidi ya kitoweo. Kamata mambo 10 kuhusu jogoo

Dunia ina mambo mengi sana, zembea kuyajua maisha yakumudu uamuzi ni wako. Hata Mungu alivyotupa akili alituachia uamuzi wa kuzitumia. Ukiamua kuzitumia akili zako kulala sawa. Yeye atakulinda usingizi ili uvune umasikini wa kutosha. Ukizitumia kili zako kuchapa kazi, atakubariki huko huko kazini hadi ushangae mwenyewe.

Iko hivyo, hebu tushirikishane mengi ya huyu kuku dume Jogoo kwa lugha tamu ya Kiswahili na Rooster kwa lugha chungu ya mkoloni.

Kwanza kabisa kuna mtu akisikia neno jogoo anawaza kumla supu, mwingine anawaza chipsi kuku lakini mtu huyo huyo ukimwambia jogoo anatoa nuksi, jogoo ni mlinzi wa nyumba, jogoo huleta bahati, atakuambia ushindwe na ulegee kwa jina la Yesu na wakati Yesu mwenyewe alimtumia jogoo kuthibitisha usaliti wa Petro. Kabla jogoo hajawika leo utanikana mara 3 ewe Petro na kweli Petro alimkana mara 3.

Unaita ushirikina na wakati makanisa ya kale yalitumia nembo ya minara ya jogoo kabla ya Emperor Costantine hajaja na msalaba wa mungu wake Tamasi kwa sababu waliijua siri ndani ya jogoo.

Wewe ukiona jogoo unawaza chipsi kuku na wakati waChina wana hadi mwaka wa jogoo kwa sababu wanazijua Baraka zake. Wewe unawaza nyama na wakati waJapan wanamuona jogoo kama mesenja wa Mungu. Timu ya taifa ya Ufaranza inafahamu siri ya jogoo hadi kuifanya kuwa nembo yao. Kule Iran jogoo ni mjumbe wa Mungu. Bendera ya KANU ina picha ya jogoo pengine ndo maana MOI aliwika kama jogoo maisha yake yote. Timu ya tottenham ina chapa ya jogoo. Orodha ni ndefu tuikatishe ili tuangalie mambo 10 kuhusu jogoo. Nazungumzia jogoo wenyewe acha haya machotala yanayokua kwa sindano na madawa kama binadamu, sidhani kama yana akili uliona wapi kuku anaota moto na kutandikiwa pa kulala kabisa? Hayo tuachane nayo tudili na jogoo asilia.

  • Jogoo huondoa nuksi, wazungu, wahindi, wachina na wajapan wanasema jogoo anapowika hufukuza wachawi, mapepo, mikosi, nuksi, balaa na mashetani yaliyotawala usiku ndio maana ni hatari kuamka kabla jogoo hajawika. Nadhani knowledge iyo hata babu zetu walikua nayo ndio maana kila familia ilifuga kuku. Siku hizi kila familia inafuga ndevu na nywele. Warusi wanakuambia kabla ya kuingia kwenye nyumba mpya au nyumba ya kupanga. Hakikisha jogoo analala humo kwanza ili akiwika aondoe nuksi, vinginevyo ndoto za ajabu zitawasumbua, utakua kama yule bwana “aliyeota anajifungua kuamka asubuhi kajisaidia kitandani, mke akamnasa kibao. Ndoa ikaishia pale.” Unashughulishwa na mandoto ya ajabu ajabu utadhani ulikula chakula kigumu usiku, lakini pia kuna nyumba hiyo ndo ilikua machinjio ya watoto wa shule na wake za watu. Ukihamia bila kufukuza nuksi mambo yako lazima yaende hovyo. Ulikua na pesa inapotea, ngumi ndani haziishi, magonjwa ndo kila siku, kila kitu kinasimama. Kuibiwa ndo usiseme, fulu nuksi utadhani gesti za uswahili maarufu kama fasta. Ukilala humo lazima uliwe kichwa. waIslam wanashauriwa kufuga jogoo mweupe nyumbani ili shetani na wachawi wasifike kwenye nyumba zao. Lakini ni mwiko kwa muislamu kumponda jogoo kwa sababu ndio huwaamisha kwenda kuswali alfajiri na mapema. Ukisikia jogoo anawika kamuona malaika, ukisikia anakoloma kaona shetani, muombe Allah akulinde.
  • Jogoo huleta bahati katika biashara na kazi, huko Ujerumani, Slovakia na Buligaria kabla ya kuanza kilimo wanachinja jogoo ili wapate mazo mengi. Hii ni kafala ya wazungu kuifanya Afrika ni chukizo mbele za Mungu tumefundishwa ivyo lakini kafala ya uchinjaji ndo sadaka kubwa kuliko sadaka zote. Hata wana wa Israel walipochinja walitoka utumwani. Kama mambo yako yanagoma jaribu na sadaka ya kuteketeza uone. Wazungu, wahindi na wachina huweka alama ya jogoo kila wanapoanza kazi mpya ili waifanye kwa ufanisi. Ukiamka asubuhi unakuta madaraja yamesimama, how? Sisi tunakwama wapi? Mbona tuna majogoo mengi tu Afrika, kwanini tuendelee kuwaachia wachawi kutumia majogoo hayo kulogea. Afrika ukimwona kuku kwa mganga jua rangi yake ndo imemponza. Waganga wetu hutumia jogoo kuwaona wachawi live, hufanya zindiko la hatari kwa kutumia jogoo, kutengeneza tego la kukamata wezi, vibaka, majambazi na wachawi. Wazungu na wachina hadi leo wanaamini jogoo akiingia jikoni ujue ni mwaka wa neema, wewe jogoo akiingia jikoni unamtimua kwa mawe na viboko halafu unavyomfukuza sasa utadhani punguwani. Wanasema jitahidi basi jikoni usikose hata kifaa kimoja chenye chata au picha ya jogoo, yapo masufulia, visu na majiko yenye chapa za jogoo lakini pia wanaamini ukitumia vifaa vyenye chapa ya kuku unajiongezea neema. Wajapan, Wafaransa na Wareno hutumia alama ya jogoo katika vitu vyao vingi kama mabati, majembe, pasi za mkaa, masufulia na panga. Hakuna nyumba inaweza kuwa na Baraka bila jogoo wanaamini hivyo wayahudi.
  • Jogoo ni ishara ya umaarufu, ujasiri, upendo na heshima. Jogoo ni mdogo lakini akiwika kijiji kizima kinajua, maana yake ni kwamba jogoo anaweza kukupa umaarufu kijiji kizima na dunia nzima. Kama unahitaji cheo na jina lako livume kama anavyovuma jogoo kwa kazi yako. Jogoo ndo jibu.
  • Jogoo anaweza kukufanya uwe jasiri wa kupigana bila kuchoka, nasikia jogoo anaweza kumuua chatu. Wakorea wengi wanatumia tattoo za jogoo kwa sababu ya uwezo wake wa kupigana hadi kufa bila kukata tamaa.
  • Jogoo anaweza kumfanya mtu mbaya kuwa mwema kutokana na hurka yake ya kuacha kuku wengine wale kwanza na yeye kuwa wa mwisho kula. Afrika mtu akikuheshimu anakuchinjia jogoo, ukienda kutembea kwa mtu na jogoo mkononi hakuulizi utaondoka lini? Habari za mgeni siku ya 1, siku ya 3 mpe jembe akalime hazitokei kwa mgeni aliyekuja na jogoo.
  • Jogoo huzuia watu kuzama majini mabaharia wa kizungu na kichina wanachora tattoo za jogoo kweye miguu yao ili wasizame kama jogoo anavyoelea kwenye maji na wao wanaelea tu.
  • Dini zote zinamkubali jogoo, jogoo katika ukristo ni ishara ya msamaha na kufufuka kwa Yesu ndo maana makanisa ya zamani yaliweka alama ya jogoo juu kama tunavyotumia misalaba leo hii. Wayahudi wanamheshimu sana jogoo kwa sababu ndo humsifu Mungu kila siku kwa siku mpya. Huko Bolivia wanaamini jogoo ndo alitangaza kuzaliwa kwa Yesu ndo maana wana ibada ya jogoo. Siku ya Krisimasi jogoo huletwa kanisani kushiriki ibada. Jogoo anapowika usiku wa manane anatukumbusha kuzaliwa kwa Yesu. Sisi akiwika muda huo kesho ni kisu lakini pia jogoo anawika ili kutukumbusha dhambi zetu ili tutubu, umechepuka usiku tubu na usirudie tena. Biblia inamtaja jogoo kama kiumbe mwenye akili sana, soma Ayubu 38:36 biblia za Kiswahili zina tafsiri nyingi. Ni vizuri unaposoma biblia jitahidi uwe nazo la lugha tofauti hii itakusaidia. Baada ya jogoo kuwika Petro alijutia matendo yake, kwa wakatoliki jogoo ni alama ya mwanzilishi wa kanisa. Jogoo ni Petro aliyemkana Yesu akajuta na kusamehewa dhambi zake akaja kuwa Papa wa kwanza wa kanisa ndo mana pale Vatican kuna kanisa la St. Peters Balisika na kanisa hilo limejengwa juu ya kabuli lake na hiyo ndo chanzo cha maaskofu wakuu kuzikwa kanisani. Lakini pia sehemu iyo ya kabuli la Peter ndo sehemu kuu ya wakatoliki kuhiji kote duniani. Kanisa lenyewe lilijengwa na Papa Julius II mwaka 500 na kitu nadhani. Papa Gregory I ndo alitangaza kuwa jogoo ndo ishara ya ukristo na alama ya mtume Petro.
  • Jogoo hutoa ishara ya hatari ili watu kuchukua tahadhari katika nchi za Babylon, Israeli, Misri, Iran, India, China, Amerika na nchi zote za Skandinavia wanaamini jogoo anapoona hatari huwika kama mko vitani jogoo akiwika inabidi mjipange vizuri. Akiwika usiku hata saa 2 usiku kaa chonjo kuna jambo linakuja. Anawataarifu mjiandae namna ya kukabiliana nalo. Wajapan wanamuona jogoo kama mjumbe wa Mungu, akipita mchawi nyuma ya nyumba yako jogoo anakuambia kwa sauti ya chini kama anaunguruma hivi. Siku hizi maovu ni mengi ndo maana jogoo anawika bila kufuata muda, hata kuchati chati na hawala zako umelala na ndoa yako usiku jogoo huwa hapendi akiwika kagua simu ya mume/mke wako ili mdundane. Unaposikia sauti ya jogoo ndotoni jua kuna mambo haujayatekeleza amka ukayafanye.
  • Jogoo huzuia moto nchi nyingi za Ulaya, Marekani na Asia wanaamini jogoo ana uwezo wa kuzuia moto ndo maana kwenye milango ya nyumba zao huchora picha ya jogoo mwekundu. Huku kwetu jogoo mwekendu ni mzuri kwa kulogea watu lakini pia wanachora picha ya jogoo mweupe mlangoni ili kuilinda nyumba yako na nguvu chafu.
  • Jogoo ni ishara ya haki, ukweli na usawa, kuna hadithi moja huko Ureno, “bwana mmoja alisingiziwa kaiba hivyo akahukumiwa kunyongwa, jamaa akamwambia jaji aliyekuwa anajianda kula jogoo mezani kwake. Jogoo mzima kakaushwa freshi kabisa, mkinifunga kitanzi shingoni mniue kwa kosa ambalo sijafanya huyo jogoo atasimama na kuwika. Jaji akasema kwenda zako mbuzi wewe. Jamaa akasema haya ninyongeni, walivyofunga kamba ile wanaatka kuvuta ili kunyonga Yule jogoo akasimama kwenye sinia na kuwika, jaji akakimbia. Kifo kikaahirishwa jamaa akaondoka zake”. Hadi leo wareno wanamtumia jogoo kama alama ya haki na usawa katika jamii. Tekinolojia ya jogoo ikitumika tutaona mengi mahakamani
  • Jogoo ni kinga ya balaa, wayahudi na wahindi wanasema unaweza kumtwika jogoo mizigo yako yote. Unachotakiwa kufanya ni Kaparoti, wayahudi walifanya ivyo kabla ya ile vita Waisraeli na Warabu, warabu wakaliwa kichwa mapema. Soma vita ya Yonkipa, sala yenyewe iko hivi wanasoma Isaya 11:9, Zaburi 117:10-14 na 17-21 na Ayubu 33:23-24 kisha wanachukua jogoo halafu anazungushwa kwenye kichwa cha mlengwa mara 3 kisha wanasema “THIS IS MY EXCHANGE, MY SUBSTUTE, MY ATORMENT. THIS ROOSTER SHALL GO TO IT’S DEATH BUT I SHALL GO TO A GOOD, LONG LIFE AND TO PEACE”. Ngoma imekwisha
We bhana una vijimambo hiyo zaburi 117:10-14,17-14 haipo,Zaburi ya 117 ina mistari miwili 1-2 tu.Isitoshe hata vitabu vingine ulivyoweka hata tafsiri zake haziko kwenye mada yako,we ungejenga points zako pasipo kutumia maandiko matakatifu"Ole wake aongezae au kupunguza maneno ya Biblia takatifu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
si unaona angalau nimekukunbusha umesoma kidogo kitabu, cha msingi chukua ya muhimu yale mkuu tu
 
ukuryani jogoo akiwika jioni yaani kuanzia saa kumi na moja hadi saa nane usiku ni ishara ya mkosi
anachinjwa faster
 
Marehemu mama angu alitoa usia kabla ya kuhama tulipo kua tunaishi miaka hiyo ya 96 alimueleza bro angu kwamba pachinjwe jogoo mweupe na mwekundu nilikua mdogo sijui ilikua na maana gani hii mkuu
 
Back
Top Bottom