Unajua Instagram wanaweza ku-access camera ya Mtumiaji na kuona kila kitu anachofanya?

Granted Faith

Member
Jul 4, 2021
57
292
Kama wewe ni mtumiaji wa Instagram basi jua Instagram Wana Program ambayo mtu akingia Instagram anaweza kuonekana kila kitu anachofanya kwa ku-access camera ya simu yako.

Mfano kama unaperuzi Instagram ukiwa umelala au unafanya mambo mengi basi Instagram HQ wanakuona via in front Camera (Kamera ya Mbele)

Kaa Kijanja
 
Ondoa access ya camera. Hamieni kwenye vifaa vya apple ikiwa unajali usalama na faragha yako.
 
Mtu akiweka CCTV camera kwa lengo la ulinzi maana yake ni kuwa ame target kundi la watu fulani ndio awafatilie na sio kufatilia watu wote maana wengine hawana threat kwake

Instagram ina wafuasi zaidi ya 1B hivo ata kama wanafatilia watu kupitia program maalumu kwangu haina shida maana najua mie sio threat kwao

kama ni kweli basi kuna kundi la watu wachache ndio wamelengwa kufatiliwa huwezi ku monitor watu zaidi ya 1B mkuu, wakufatilie we una nini, ispokuwa kuna baadhi ya watu wa serikali, makampuni makubwa, majasusi ndio watu wao, we post na kulike picha hawana mpango na wewe

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ondoa access ya camera. Hamieni kwenye vifaa vya apple ikiwa unajali usalama na faragha yako.
Program ni zilezile tu. Kama hio program ina access camera na vitu vingine ni kwamba umesha ziruhusu kupata hizo access
 
Kwenge fale la instagrum kwa simu yako seting aces kuna sehemu ya ku off kama hutaki unaweza off hadi locatin camera aces data kila kitu wewe tuu mtumiani uwe hujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muwe mnasoma agreement and policy acheni ku click i agree hata ujui ume agree nn
 
Kwa watanzania wanapoteza muda tu. Watakuwa wanatutrack tunavyokula miguu na vichwa vya kuku.
 
Back
Top Bottom