Unajisikiaje unavyotongoza halafu ukakataliwa?

acha hizo kwani hujui kutongoza nisifa kwa mwanaume
kukubaliwa au kukataliwa ni matokeo
 
Mimi kuna mmoja tumezoeana sana adi ananiomba vitu flani flani kama mwaka adi anakuja home tunapiga story siku za weekend jamani hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mliyezoeana naye nabaki kukodolea tu na moyo ukimuona ni mshtuko tuu dah!

Ni kweli kaka,watoto wa kike wana mitego balaa,sasa omba mzigo uone kibuti chake
 
msaada gani unanipa

Acha kutongoza sana, subiri upendane na mtu! Inawezekana unatongoza sana na wanaambiana!
Ukipendana na mtu, wala hutakuwa na haja ya kutongoza, utaziona tu dalili za kupendwa.
Tulia, concentrate kwenye vitu muhimu kama kutafuta pesa, Elimu, Ajira uliyonayo. Usiwe mtu wa mzaha mzaha wa kitoto, kuwa smart and clean, look happy(hakuna mtu anaependa kushare life na mtu mwenye huzuni), Usipende kuhang na watu wasio na sifa njema hapo ulipo n.k
 
Ungeendelea kuonyesha upendo kwake, umeumia kwa sababu kwa aibu yake hukutegemea kumkosa, kama unania njema nae usikate tamaa.
 
Acha kutongoza sana, subiri upendane na mtu! Inawezekana unatongoza sana na wanaambiana!
Ukipendana na mtu, wala hutakuwa na haja ya kutongoza, utaziona tu dalili za kupendwa.
Tulia, concentrate kwenye vitu muhimu kama kutafuta pesa, Elimu, Ajira uliyonayo. Usiwe mtu wa mzaha mzaha wa kitoto, kuwa smart and clean, look happy(hakuna mtu anaependa kushare life na mtu mwenye huzuni), Usipende kuhang na watu wasio na sifa njema hapo ulipo n.k

mkuu ushauri mzuri sana,me ni kweli huwa nawatongozaga sana hawa viumbe
 
ukizoeana na msichana sana hakika huwez kumtongoza hata ukimtongoza bac jua pocibility ya kukataliwa ni kubwa sana.
 
Barnaba pro
Kukataliwa kupo sanaa tu. Tatzo unaenda kwa kunyenyekea...treat her as if she doesnt mean anything to u but onyesha care.

Ukijikuta paroko kwa sanaa ndio kabsaaa unaharibu. Alaf ujue kuoga, deodorant and be simple but smart. Lol

Kuna watu hawana hata baiskeli lakn wanang'oa vinu vya hatari.

mkuu hzo sifa zote ninazo,yan nikiona msichana mzuri ameugusa moyo wangu namwambia tu ME NAHITAJ KUWA NA WEW,apo sasa ndo kazi ianziapo
 
Last edited by a moderator:
Mimi kuna mmoja tumezoeana sana adi ananiomba vitu flani flani kama mwaka adi anakuja home tunapiga story siku za weekend jamani hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mliyezoeana naye nabaki kukodolea tu na moyo ukimuona ni mshtuko tuu dah!

kam anakuja ad hom me ni ngum kumuacha
 
Kukataliwa noma sana mkuu hata kama ulikuwa umpendi ukamtongoza akikataa inauma kimtindo
 
Kwann mkuu?

ujue wasichana huwa ni watu wanaofuata nini mvulana anafanya kwahiyo ukiwa na mazoea nao xana bac anakuchukulia kama rafiki hivyo hata ukimtongoza utasikia anasema "me cwez kuwa na ww coz wew ni kama rafiki kwangu" EPUKA kuwa karibu xana na msichana unaye muwekea target.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom