kivip madame s
Mimi kuna mmoja tumezoeana sana adi ananiomba vitu flani flani kama mwaka adi anakuja home tunapiga story siku za weekend jamani hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mliyezoeana naye nabaki kukodolea tu na moyo ukimuona ni mshtuko tuu dah!
msaada gani unanipa
acha hizo kwani hujui kutongoza nisifa kwa mwanaume
kukubaliwa au kukataliwa ni matokeo
Nimekutafunia hats kukumezea nikumezee
Hainiumizi maana uwaga sina hisia ....uwaga nawatongoza nipige ahimo tu
Acha kutongoza sana, subiri upendane na mtu! Inawezekana unatongoza sana na wanaambiana!
Ukipendana na mtu, wala hutakuwa na haja ya kutongoza, utaziona tu dalili za kupendwa.
Tulia, concentrate kwenye vitu muhimu kama kutafuta pesa, Elimu, Ajira uliyonayo. Usiwe mtu wa mzaha mzaha wa kitoto, kuwa smart and clean, look happy(hakuna mtu anaependa kushare life na mtu mwenye huzuni), Usipende kuhang na watu wasio na sifa njema hapo ulipo n.k
Ungeendelea kuonyesha upendo kwake, umeumia kwa sababu kwa aibu yake hukutegemea kumkosa, kama unania njema nae usikate tamaa.
Barnaba pro
Kukataliwa kupo sanaa tu. Tatzo unaenda kwa kunyenyekea...treat her as if she doesnt mean anything to u but onyesha care.
Ukijikuta paroko kwa sanaa ndio kabsaaa unaharibu. Alaf ujue kuoga, deodorant and be simple but smart. Lol
Kuna watu hawana hata baiskeli lakn wanang'oa vinu vya hatari.
Mimi kuna mmoja tumezoeana sana adi ananiomba vitu flani flani kama mwaka adi anakuja home tunapiga story siku za weekend jamani hakuna kazi ngumu kama kumtongoza mliyezoeana naye nabaki kukodolea tu na moyo ukimuona ni mshtuko tuu dah!
ukizoeana na msichana sana hakika huwez kumtongoza hata ukimtongoza bac jua pocibility ya kukataliwa ni kubwa sana.
Kwann mkuu?
umri n kijana mbich kabisa
basi sawaalionyesha dalili zote yan
hisia zako tasa mkuu.. jaribu kuwa nahisia shufwanimeanza kuhisi na wew unanipenda