Unajisikiaje pale mtu akikupa au kupokea kwa mkono wa kushoto?

Mikono yote ina thamani sawa, vidole vyote vinashabihiana, hakuna mkono ulio bora kuliko mwingine. Wanaotumia kushota watoe kwa kushoto, na anaetumi kulia atoe kwa kulia . Dhana kushoto ni mkono wa kuchamba ndio chanzo cha kushusha heshina ya kushoto. Wanaochamba kwa kulia vipi?

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kama mkono wake wa kulia uko bize sitojisikia vibaya.. ata huo nao ni mkono pia ila kama hayuko bize na mkono wa kulia nitachukulia dharau
 
Back
Top Bottom